Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
Aisee hii kasumba ya kufukuza makocha in the future itatuweka mahala pabaya sana kwa sababu hakuna kocha atataka kufanya kaz na sisi kikubwa tumpe nafasi next season mbona yuko poa kama ivo inapandisha vijana na kuwapa more experience #sarri[emoji123]
Sitaacha kulalamika na huyu kocha wetu. Hakika anatunyima maisha tuliyoyazoea.
Sema tuvumilie maisha ya mpito. Nakubali nimefungwa kama ambvyo hata mimi namfunga. Hali yetu kwa sasa isiwe sababuya kufungwa kwetu. Tulikua na nafasi nyingi za kufanya mazuri ila tumefanya uzembe tu.
Sema goli la Salah zuri. Hatuwezi kumlaumu kipa. Pale anafungwa kipa yoyte yule na ubora wake. Hatukati tamaa, nafasi bado tunayo.
Up Blues [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri balls
Mashabik hamkosagi mtu wakumuangushia lawama ,kama kupanga wachezaji mnaowatakaga kawapanga,
Kwanini Usi waapriciate liver kuwa wamecheza vzr,na utambue kuna viwanja ambavyo ni vigumu, kimoja wapo anfield,
Yohana 3:16
Wapi joginho na mapasi yake?,Liverpool hii ni ya moto[emoji91].record zenu tupa kule
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Jogoo Kakudonoa Viwili safi kabisa
Mashabik hamkosagi mtu wakumuangushia lawama ,kama kupanga wachezaji mnaowatakaga kawapanga,
Kwanini Usi waapriciate liver kuwa wamecheza vzr,na utambue kuna viwanja ambavyo ni vigumu, kimoja wapo anfield,
Yohana 3:16
Ivi Huyu Kepa ndiye yule Kipa ghali duniani aliyekuwa akilinganishwa na DE GEA?
Tukubali tu chelsea hii ni dhaifu sana aiwezi kumfunga Liverpool anfield
Sent from my iPhone using JamiiForums
Katika makipa wa top six wote huyu ndo kipa mbovu zaidi Chel6 waliingizwa mkengeIvi Huyu Kepa ndiye yule Kipa ghali duniani aliyekuwa akilinganishwa na DE GEA?
Ndio ninachomwambia huyo jamaa, kuna viwanja ukitembelea utatafutwa tu ,hadi wakupateWanafikiri kama zamani,anfield sasa pamekuwa pagumu sana ukishinda umepata droo.unaenda msimu wa pili huu Liverpool ajafungwa anfield.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa...huyo ndiye pumba kabisa hata sijui alipataje bahati ya kuja kuichezea timu kubwa kama Chelsea.
Huwezi amini Jorginho alianza kwa mbwembwe kiasi cha kulinganishwa na Pogba.
Futuh is ringing
13SEPTEMBER
Jamani Ollachuga Oc yuko wapi? Au kama kawaida yake baada ya vipigo?