Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Sema sa ivi kipindi cha pili naona kocha aingize striker. Hawa jamaa wanafungika.Keppa
Emerson
Luiz
Rudiger
Azpilicueta
Jorginho
Kante
Loftus Cheek
Hazard
Odoi
Giroud
Kama kocha akipanga hicho [emoji121][emoji121]nina imani ushindi utakuepo. Ila akibug tu akimpanga Alonso tabu tutapata maana yupo slow sana hawez kwenda na kasi ya Mane
Sent using Jamii Forums mobile app