Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Tena mkuu sisi tutaongoza kila kitu, kuanzia ball possession mpaka magoli.
Wewe hutakiwi kufikisha masaa 24 ukiwa kileleni mwa ligi.
Mpaka desemba unatakiwa uwe nafasi ya nne uko au ya tano..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vinaingia? Kweli Sarriball inafanya kazi ya kuwarudisha nafasi ya 6
Pass 838. Chelsea
Pass 131. Newcastle
Ukisikia tunaongoza kwa pasi nyingi usishangae
Kabla ya hii match tulikuwa na pass 1368 + 838 utajua mwenyewe utapata ngapiView attachment 847759
E&K
Nahema vizuri tu
Sasa hivi kwa hii team yetu ni kusubiri goli linaingia saa ngapi tu kwa wapinzani wetu
E&K
Tulizana hiyo ilikuwa mipango ya Sarri ball king ngwaba
Usiombe ukutane na sisi hutapiga pass kabisa mkuu
E&K
Tulipofikisha pass 670 mbele ya arsenal basi nilijua Sarri ball imeanza kufanya kazi
Arsenal walikuwa na pass 300 na kitu hivi
E&K
Chelsea kuingia top 4 ilikuwa ni bwerere lakini sasa baada ya kipigo cha jana inabidi wafight tena fight hasa ambayo nina wasiwasi hasa kama Kocha ataendelea kurelay kwa huduma ya Alonso na pia asipompa muda wa kutosha vijana wadogo wenye pumzi kama akina Odoi na Christiansen
Kwa kweli Nafurahia sarriball [emoji3]
E&K
Huko aliko big boss Roman Abromovich anatabasamu tu
Mpira mwingi na ushindi juu
E&K