Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Aiseee...kama Abarahamovich hataki kumtimua huyu Sari masigara si auze timu kwa wachina au waarabu kibao wenye pesa zao kuliko kuendelea kuwa na maumivu namna hii?
Tunawaambiaga Watu humu kuwa Sari ni mwanasiasa wala si kocha mnatukatalia, gemu ijayo anasuluhu au anashinda kwa kishindo cha dozi haswa afu zingine 2 anafungwa[emoji1787]Daah huyu sarri aisee anakera sana muda mwingine kiukweli daah
Toffees a.k.a Everton amekunyoosha mbaliKama utafika fainali basi juu hii ni ya pili nakukong'oa. Kama usipofika nakutakia pole jipange upya msimu ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemu yake ya mwisho Everton alishinda 3-2 naalikuwa ugenini nadhani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua haya mambo hayaAiseee...kama Abarahamovich hataki kumtimua huyu Sari masigara si auze timu kwa wachina au waarabu kibao wenye pesa zao kuliko kuendelea kuwa na maumivu namna hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi jamaa, mliona sisi kupata kipigo jana tumefaidiii.. Mkaona leo mpate cha kwenu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi jamaa, mliona sisi kupata kipigo jana tumefaidiii.. Mkaona leo mpate cha kwenu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichonikera nilichoma mb za kucheki online. Alaf madogo wakatunyoosha[emoji4]