Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sikuwahi kuelewa na mpaka sasa bedo sijaelewa kitu gani Chelsea walikiona Kwa SARI mpaka wakampa timu huyu mlugaluga
 
Makombe ndo muhimu mkuu ila club club need to build it's identity. Changing coaches after every season haitatusaidia.

1. Kwanza mazingira ya mpira yamebadilika Uingereza karibia klabu sita za mpira zinaweza kununua wachezaji ghari na kutengeneza timu zenye kuleta ushindani mkubwa. Kipindi kile tunabeba makombe kwa style ya kubadilisha makocha ilikuwa ni Man U ndo walikuwa na uwezo wa kusajiri wachezaji mahiri na Man City ilikuja kuibuka baadae. Liverpool walikuwa na wachezaji wa ovyo, Arsenal hawakuwa na nguvu ktk transfer market, Tottnham walikuwa kama Everton tu.

This time things have changed.Ushindani umeongezeka na hivyo hauna muda wa wachezaji kuadapt.

2. Pili ili wachezaji waadapt haraka kwa mfumo mpya wa kocha unatakiwa uwe na world class players. Wachezaji aina ya Hazard, Aguero, VVd, Kante, De Bryuin... ndo wanaweza kuadapt haraka kumeet mahitaji ya kocha ndani ya muda mfupi. Hawa wachezaji aina ya Barkey, Pedro, Alonso... ni bure kabisa wanahitaji muda kuadapt new system.

Ni tofauti na wale wachezaji tuliobeba nao kombe 2010 tukiwa na Carlo Anselotti.
John Terry,
Ivanovic,
Asheley Coley,
Calvaliho,
Michael Barack,
J. Cole,
Deco,
Essien,
Lampard,
Malouda,
Matic,
John Mikel,
Anelka,
Drogba,
Salmon Kalou,
Paulo Ferreira na wengineo.

Hao ni baadhi ktk kikosi cha msimu wa 2009/2010 mwaka ambao tulibeba ambao tulibeba ndoo ya EPL na kucheza fainali Uefa.
Hao wachezaji hata umpe Klopp, Zidane, Mourihno, Achelotti au kocha yeyeto ndani ya msimu mmoja wanakupa matokeo unayoyataka.

Sasa walinganishe na Alonso, Luiz, Azpillicueta, Kovacic, Barkley, Willian, Pedro, Ludiger uone kama kuna uhusiano. Sijui kwenye kikosi hiki ni nani angeweza kupata namba kwenye kikosi cha 2009/2010 tofauti na Hazard au Kante.

So mm nafikiri tumpe Sarri muda ajenge falsafa yake na tumtimizie mahitaji yake. Tumjudge baada ya misimu miwili. Itakuwa rahisi kucheza zama hizi tukiwa na identity yetu ya mpira. Leo unamnunua Jogihno for more than £50m alafu unamleta Zidane msimu unaofuata unapigwa hasara.

JamiiForums mobile app
Wewe mpe lakini sisi tunasema huyo mpuuzi sijui kaokotwa wapi afungashe virago tena subuhi, hata akae miaka 10 style yake itakuwa ni hiyo hiyo hana mfumo wala mbinu zingine anazozijua huyo
 
Sarri anafikiri EPL ni sawa na Serie A ambayo timu pinzani ni Juve tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom