Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Ukisikia nyumba ya misiba ndo kama hii, nyie hamchoki tu kufungwa fungwa?
Everyday you you!
Everyday you you!
Alonso anazinguaJorginho, Akiendele kubaki mpaka dakika ya90 Chelsea anakula 5
Yap,nahuyu akibaki dakika 90 nimajanga tuAlonso anazingua
Huyu sarri ni fala atuachie timu yetu aisee, man choko wanatupiga mbili nyumbani??
Nonsense!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukirudi tena nitagZinnedine Zidane amenukuliwa akisema yuko tayari kuifunza Chelsea kama hizi conditions mbili zitafanikiwa.
Hazard asiondoke.
Na apewe Pauni 200 za usajili.
N.B Chelsea kwa sasa imepoteza heshima yake sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hawa wachovu watufunge nyumbani.? Kama hii game tutapoteza sipo tayari kuendelea kushabikia Chelsea mpaka Sarri atakapofukuzwa.
Haya mambo hatujazoea bhana. Kazi itakua imemshinda huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
sarri kashakuwa kituko mapemaHadi hawa wachovu watufunge nyumbani.? Kama hii game tutapoteza sipo tayari kuendelea kushabikia Chelsea mpaka Sarri atakapofukuzwa.
Haya mambo hatujazoea bhana. Kazi itakua imemshinda huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanya maamuzi ya busara
Hata ukichana sarri hakulipi![]()
joanaaaaah