Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,803
Inaeza kuishia 0-6 😁
Aondoke tu huyu mzee, mimi siwezi kuwa kama shabiki wa Arsenal, haya siyo maisha yetu kabisa.![]()
![]()
![]()
sarri kashakuwa kituko mapema
Na kwa falsafa za Chelsea za kutomvumilia mwalimu anaondoka huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Masihara hayoInaeza kuishia 0-6![]()
Ni kweli hata Mimi nashangaa imekuajeAondoke tu huyu mzee, mimi siwezi kuwa kama shabiki wa Arsenal, haya siyo maisha yetu kabisa.
Hebu angalia hii.
Top four hatupo, Europa hatuna uhakika, Carabao final tunacheza na yule mla 6, nafasi iliyobaki ndio hii. Una advantage unacheza nyumbani halafu ufungwe na UTD hii mbovu, siyo kwamba Chelsea ni nzima lakini ukiangalia kwa haraka sisi tuna advantage kuweza kupata matokeo leo.
Halaftime tushakula mbili tayari. Kama atashindwa na hapa huyu aondoke tu. Lazima heshima Stamford bridge ilindwe, Chelsea haiwezi kuwa jamvi la wageni. Haya maisha sisi hatuna, anataka kutufanya sisi kama Arsenal huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini nimewakebehi.? Sina hakika kama uko sahihi au unanifananisha mimi na wengine uliowazoea.Ulikuwa unawakebehi Liverpool kumbe wenzio wako vizuri kuliko wewe mbaali sana
Ila leo lala 😂😂
Timu nyingi EPL zina tatizo kama la bodi ya Chelsea, mfano mzuri ni Man United, kocha hapewi madaraka baada ya Ferguson, Lakini timu kwa wachezaji waliopo wanacheza kimbinu, Chelsea hawatumii mbinu yeyote, mpira wa kukariri hata zile bottom timu sasa wanajua Chelsea wanasukuma wapi mpira ukitoka kwa Luiz-Rudiger -Luiz ten -Jourgninho, back toi Luiz ikaenda hivyo mpaka dakika 90 ziishe. Ndivyo mpira ulivyochezwa leo. Ukiondoa ubovu wa Alonso almost magoli yote mbili kayasababisha yeye, KOCHA NAYE MBOVU. NARUDIA NI MBOVU SARI HANA MBINUTatizo la Chelsea linaanzia kwenye management.
1. Policy yetu ya kusajiri wachezaji ni mbovu kabisa. Kocha hana say kubwa katika ununuzi wa wachezaji. Na hii inasababisha wachezaji wengi wanaonunuliwa kuflop kwa sababu wanashindwa kufit katika mfumo wa kocha.
Mfano wachezaji kama Bakayoko, Alvaro Morata, Giroud, Drinkwater, Zapacosta, na yule maraster wote wameflop kwa sababu wamenunuliwa bila kujali kama wanafit katika mfumo wa kocha aliyekuwepo au lah.
Liverpool, Man City na Tottenham ambao wameshika nafasi za juu kwenye ligi, makocha ndo mamenagers na wanakuwa na say kubwa mchezaji anapotaka kuletwa kwenye timu zao.
Wachezaji waliopo Sarri kawakuta isipokuwa Jogihno, hivyo wanafundishwa falsafa mpya ya kucheza ni vigumu sana. Kumbuka wengi wa wachezaji wa Chelsea wamefundishwa na makocha 3 wakiwa hapa Chelsea na wengine zaidi. Sasa wanachanganywa kila msimu wanafundishwa new ways of playing which are contrary to the ones they used to know. Hata wewe ungekuwa mchezaji lazima uchanganyikiwe. Na hiki ndo kinatokea kwa Kante, Alonso, Willian na hata Hazard.
Haya yote ni matatizo ya uongozi wa Chelsea.
2. Chelsea hakuna uvumilivu kwa makocha. Kumbuka kila kocha ana aina ya wachezaji anaowahitaji ili kucheza aina ya mpira anaoufundisha. Na pia kumbadili acheze coache's way of football inachukua muda.
Kante alifaa sana kwa mfumo wa Conte ila sasa ni useless kwa mfumo wa Sari na hivyo ametafutiwa nafasi mbadala ambayo hata hafai kucheza hapo ili aendee kuwa katika kikosi cha kwanza.
Willian, Pedro, Hazard, Alonso, Kovacic wote wanajifanya kupiga chenga chenga wakati sote tunafahamu mfumo wa Sarri ni kupress at a high speed. Sasa utapress vipi wakati timu nzima kila mtu anataka kupiga chenga watu angalau wawili? Lakini ndivyo walivyozoea. Tulikuwa na Moses sasa hivi amesahaulika. Si ajabu hata kocha atakayekuja anaweza kuwabenchi miongoni mwa hawa wanaopata nafasi first eleven.
Guadiola alifukuza wote wasioendana na mfumo wake pale City, pale Liverpool Klopp kaondoa wasiomfaa na hata wale hasiowataka kwenye kikosi chake wanasugua benchi, Tottenham sote tunaijua kwamba wachezaji wamekaa na kocha kwa muda mrefu kuna chemistry nzuri kati ya kocha na wachezaji.
So wadau tusitegemee miujiza kutokea kama ilivyokuwa huko nyuma. Ni makocha wachache aina ya Conte wanaweza kukupa matokeo msimu wao wa kwanza kwenye timu na hata hivyo hawawezi kuonyesha consistence kwa sababu matatizo yetu ni very deep alafu tunatumia quick fix approaches. Tusitegemee makubwa mpaka uongozi wa Chelsea ubadilike. Mshandani umekuwa mkubwa.Hatuwezi kucompete na wenzetu wenye long term plans.
Sent using Jamii Forums mobile app