Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Hata kama final ya Carabao tutashinda japo tuna asilimia chache sana kufanya vizuri hiyo match bado sioni nafasi yake kwa Chelsea hii. Ameshindwa kutushawishi kwa kipimo kidogo. Gharama za kumbakisha huyu ni kubwa kuliko za kumuondoa sasa.
Hana plan B huyu mzee. Hatuwezi tukakosa kombe msimu huu tubaki tunakuangalia tu. Tunakoelekea ni kuzito kuliko tulipo sasa. Kale kamama ka kirusi kwenye bodi ya usajili hakatakiwi kuwepo pale ni kufukuza tu.
Am QUITTING mpaka Sarri atakapoondoka, This kind of humiliation can not be tolerated, am not an Arsenal fan, am a Chelsea fan. Blue forever!!
Sent using Jamii Forums mobile app