Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Mkuu,mkuu bado msimamo wako unaendelea au tunaongea lugha moja kwa sasa??
Unapaswa ujue kwanza kwamba Sarri haeleweki kwa wengi kwasababu anaamini his plan A inapaswa ieleweke vizuri kabla ya kuswitch to plan A.
Second, ni vigumu kwa kocha kuimplement his style of football wakati unawacritise wachezaji wako in public
Sent using Jamii Forums mobile app