Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,143
huyo n f yaan tuliomo humu cfc huyu n mweupeNaona unamshambulia huyo dogo wa Twitter asiyejua kutofautisha ipi JF na ipi ni Twitter
huyo n f yaan tuliomo humu cfc huyu n mweupeNaona unamshambulia huyo dogo wa Twitter asiyejua kutofautisha ipi JF na ipi ni Twitter
Mkuu kwani saivi Chelsea iko vizuri?
Ni mchezaji gani wa Chelsea anaeza pata namba man city kwa sasa? Usiseme Kante, Hazard...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vincent Kompany kaachwa tu juzijuzi tena kwa sababu ya injury aliyopata wakati Mancity walipocheza na Liverpool January 3. Hii ya kwamba hatumiki tena ni ya kwako mkuu, Luiz sikusema awe tegemeo la timu lakini kumuacha tu ni uamuzi mbaya, akina Andreas wana vitu vingi vya kujifunza kutoka kwake. Kama uongozi ukiweza kumpata strategic relplacement ni sawa ila naogopa kuwa wanaweza kumleta mbovu Zaidi na ikawa ni afadhali kumjenga Christiansen achukue nafasi yake. Willian bado ana uwezo mkubwa kama winga kutengeneza nafasi, kumuachia aende labda auzwe kwa chenji yenye kuweza kuwanunua winga bora Zaidi, Pedro kashachoka kwa kweli. Ila in short ubovu wa kiuujumla wa timu ndio unaoleta kunyoosheana vidole. General form ya timu ingekuwa nzuri tusingekuwa leo tunawataja akina Luiz, Willian nk. Pale kwenye msingi ndio inatakiwa kujengwa, pale ikibomoka nyumba yote mbovu. Che inamhitaji CMF, LMF na RMF wazuri Zaidi ya Jourginho na Kovacic. Na pia kocha na Benji lake la ufundi wanachangia kwa timu kukosa morale, mentality ndogo na individual mistakes nyingi kana kwamba hawaudhurii mazoezi. Pia kocha kuwa conservative kwa mfumo mmoja madhara yake ni pale mfumo usipowork ndio haya. Mimi generally namlaumu kocha kwa mentality yake finyu kwenye mifumo na tactics za kuleta matokeo
Hayo ni mitizamo, mahaba na mapenzi yako, na kila mtu anaona impendezavyo, tusubiri tuone mtizamo wa nani uko sawaMkuu Jorginho na Kovacic wamekuja juzi tu, Na timu mwaka jana ilikula mabao mpaka wakatafutana.
Luiz hafai kuwepo kwenye timu, Hana tena sifa ya beki wakuanza kwa timu kama Chelsea, Na akiwekwa Bench ndio hao wanaotengeneza fitna za kususia makocha. Tatizo kubwa la chelsea ni mentality ya mafanz wake pamoja na management. Jorginho ni katika best Midfielder in Europe nyie mnamuona hafai, Sishangai mkaishia kupendekeza mchezaji kama Zaha aletwe pale aje kukusaidieni kugombea ubingwa wa Ulaya.
Willian hafai kabisa, mchezaji anayekosa consistence performance, mechi moja akicheza vizuri 6 ovyo. Scoring yake ni very poor, anaweza hata kukosa nafasi 5 za wazi kwa siku, Creative yake pia ni poor sijui mnaona nini bado. Chelsea wanahitaji quality winger kama Doglas Costa kule mbele, Pedro, Willian , hawfai. Na Hazard kama anataka kuondoka wajikite kwa mtu kama na mtu kama Dyabla.
Kila kocha na mfumo wake, Huwezi kuta kocha ana mifumo miwili tafauti ukamkuta anatumia, mabadiliko yote ya kwenye mfumo lazima yaendane na mfumo wake mkuu. Na utawezaji kuaanza kuforcas na Plan B wakati Plan A bado haijakaa sawa? Hayo ndio maneno ya Sarri siku zote anayowajibu wale waandishi uchwara.
Sibishan na wavuta bangi. Mwehu wwkatka mashabiki wabovu cfc ni ww maana hunaga point tofaut na kukopy ujinga huna akili ya kufikilia yawezekana umri 15-25
Naona unamshambulia huyo dogo wa Twitter asiyejua kutofautisha ipi JF na ipi ni Twitter
Hayo ni mitizamo, mahaba na mapenzi yako, na kila mtu anaona impendezavyo, tusubiri tuone mtizamo wa nani uko sawa
Sina haja ya kuendelea kubishana na mtu mwenye mahaba. Ila mimi nitabakia pale pale, wachezaji wengine wamepwaya kwa sababu ya timu nzima kuwa kwenye bad form iliyosababishwa na poor motivation ya timu ambayo nadhani hawasiliani vizuri na kocha na baadhi ya wachezaji kuwa poor quality, kwa case ya Jourgninho unaweza kuwa right labda anatakiwa kuzoea EPL, ila kwa case ya Willian, Luiz I still embrace my stand. Na kwa Kocha bado nasema kocha ni mzuri 4-3-3 ikifanya kazi lakini isipofanya kazi hana tactics, hana techniques wala hana strategic plan B kama walivyo makocha wazoefu
Tatizo la Chelsea linaanzia kwenye management.Hayo ni mitizamo, mahaba na mapenzi yako, na kila mtu anaona impendezavyo, tusubiri tuone mtizamo wa nani uko sawa
Sina haja ya kuendelea kubishana na mtu mwenye mahaba. Ila mimi nitabakia pale pale, wachezaji wengine wamepwaya kwa sababu ya timu nzima kuwa kwenye bad form iliyosababishwa na poor motivation ya timu ambayo nadhani hawasiliani vizuri na kocha na baadhi ya wachezaji kuwa poor quality, kwa case ya Jourgninho unaweza kuwa right labda anatakiwa kuzoea EPL, ila kwa case ya Willian, Luiz I still embrace my stand. Na kwa Kocha bado nasema kocha ni mzuri 4-3-3 ikifanya kazi lakini isipofanya kazi hana tactics, hana techniques wala hana strategic plan B kama walivyo makocha wazoefu
Mkuu uko sahihi. Tatizo la Chelsea niWe una point gani??? Nimekuuliza unadhan solution ni kufukuza kocha? Utafukuza wangap? Liverpool na man city wamewasubr makocha wao mpka ku implement philosophy zao! Na waliwapa hela kusajili. Unajua Sera ya kusajili ya Chelsea?
Sibishan na wavuta bangi. Mwehu ww
We una point gani??? Nimekuuliza unadhan solution ni kufukuza kocha? Utafukuza wangap? Liverpool na man city wamewasubr makocha wao mpka ku implement philosophy zao! Na waliwapa hela kusajili. Unajua Sera ya kusajili ya Chelsea?
Sibishan na wavuta bangi. Mwehu ww
Pamoja na point nzuri ulizozielezea kwa mapana, bado kocha ana shida na wachezaji. Kawatukana sana huko nyuma na sijui kafanya nini ili kufagia hewa chafu.Tatizo la Chelsea linaanzia kwenye management.
1. Policy yetu ya kusajiri wachezaji ni mbovu kabisa. Kocha hana say kubwa katika ununuzi wa wachezaji. Na hii inasababisha wachezaji wengi wanaonunuliwa kuflop kwa sababu wanashindwa kufit katika mfumo wa kocha.
Mfano wachezaji kama Bakayoko, Alvaro Morata, Giroud, Drinkwater, Zapacosta, na yule maraster wote wameflop kwa sababu wamenunuliwa bila kujali kama wanafit katika mfumo wa kocha aliyekuwepo au lah.
Liverpool, Man City na Tottenham ambao wameshika nafasi za juu kwenye ligi, makocha ndo mamenagers na wanakuwa na say kubwa mchezaji anapotaka kuletwa kwenye timu zao.
Wachezaji waliopo Sarri kawakuta isipokuwa Jogihno, hivyo wanafundishwa falsafa mpya ya kucheza ni vigumu sana. Kumbuka wengi wa wachezaji wa Chelsea wamefundishwa na makocha 3 wakiwa hapa Chelsea na wengine zaidi. Sasa wanachanganywa kila msimu wanafundishwa new ways of playing which are contrary to the ones they used to know. Hata wewe ungekuwa mchezaji lazima uchanganyikiwe. Na hiki ndo kinatokea kwa Kante, Alonso, Willian na hata Hazard.
Haya yote ni matatizo ya uongozi wa Chelsea.
2. Chelsea hakuna uvumilivu kwa makocha. Kumbuka kila kocha ana aina ya wachezaji anaowahitaji ili kucheza aina ya mpira anaoufundisha. Na pia kumbadili acheze coache's way of football inachukua muda.
Kante alifaa sana kwa mfumo wa Conte ila sasa ni useless kwa mfumo wa Sari na hivyo ametafutiwa nafasi mbadala ambayo hata hafai kucheza hapo ili aendee kuwa katika kikosi cha kwanza.
Willian, Pedro, Hazard, Alonso, Kovacic wote wanajifanya kupiga chenga chenga wakati sote tunafahamu mfumo wa Sarri ni kupress at a high speed. Sasa utapress vipi wakati timu nzima kila mtu anataka kupiga chenga watu angalau wawili? Lakini ndivyo walivyozoea. Tulikuwa na Moses sasa hivi amesahaulika. Si ajabu hata kocha atakayekuja anaweza kuwabenchi miongoni mwa hawa wanaopata nafasi first eleven.
Guadiola alifukuza wote wasioendana na mfumo wake pale City, pale Liverpool Klopp kaondoa wasiomfaa na hata wale hasiowataka kwenye kikosi chake wanasugua benchi, Tottenham sote tunaijua kwamba wachezaji wamekaa na kocha kwa muda mrefu kuna chemistry nzuri kati ya kocha na wachezaji.
So wadau tusitegemee miujiza kutokea kama ilivyokuwa huko nyuma. Ni makocha wachache aina ya Conte wanaweza kukupa matokeo msimu wao wa kwanza kwenye timu na hata hivyo hawawezi kuonyesha consistence kwa sababu matatizo yetu ni very deep alafu tunatumia quick fix approaches. Tusitegemee makubwa mpaka uongozi wa Chelsea ubadilike. Mshandani umekuwa mkubwa.Hatuwezi kucompete na wenzetu wenye long term plans.
Sent using Jamii Forums mobile app
200 atapata ila sijui kama eden hazard atabakiZizzu on Chelsea Job
Zinedine Zidane has reportedly laid out his terms after informing Chelsea that he is interested in becoming their next manager.
The former Real Madrid boss, who won three Champions League titles in three years at the Bernabeu, has been strongly touted as a possible successor for under-fire boss Maurizio Sarri.
Chelsea are rumoured to be weighing up whether to part company with Sarri after less than a year at the helm following an underwhelming run of results and concerns over the playing style.
The Sun reports that Zidane is keen to discuss the job as he feels he can turn the club into contenders once again, but he will only do it on his own terms.
It is claimed that the Frenchman has asked for a £200m transfer kitty to strengthen the squad, and he wants a major say in who joins and leaves.
Zidane also wants Eden Hazard to stay in place, despite the Belgian winger angling for a move to Madrid.
A big week for Sarri starts with Monday's FA Cup fifth-round tie against Manchester United and culminates in the EFL Cup final against Manchester City.
Sarri akifungwa na Ole Gunar halafu tena akafungwa na Pep kwenye Karabao Final hana kazi, Darajani hamna uvumilivu, sisi tunataka matokeo ya haraka, matokeo ya polepole tuwaachie Arsenal na Liverpool
Hazard anamukubali zidane sana, anaweza kubaki
Makombe ndo muhimu mkuu ila club club need to build it's identity. Changing coaches after every season haitatusaidia.Zizzu on Chelsea Job