usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
Sari anazingua tu hakuna mfumo mbadala litakavo anza ndo ivoivo litamalizia poor sari na bora kante na jorginho wacheze 6na8 uko mbele kante asiende tena tunapiga pass nyingi zisizo kua na faida kabisa na hatuna beki ya kati kabisa sema tunasaidiwa na kumiliki mpira muda mwingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app