Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,599
Oh yes am fine dia,.za jpil??uko fine lakini?
Oh yes am fine dia,.za jpil??uko fine lakini?
Umesema Liverpool sio bora kuliko asernal, duuh we mkuu hebu fikiria kabla ya kutype.Arsenal kushinda sio kwamba ni bora kuliko Chelsea. Hata Liverpool sio kwamba ni bora kuliko Arsenal..
Kushinda kwa arsenal jana sio kwamba na wewe utashinda
Kila gemu na mipango yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
just a matter of timeNi swala la muda tu mkuu. Usigikiri kufungwa na arsenal ikawa sababu timu zote kufunga Chelsea. Naamini Moto wa Chelsea unaufahamu vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwako Arsenal ni bora kuliko liverpool au liverpool ni bora kuliko arsenal.Umesema Liverpool sio bora kuliko asernal, duuh we mkuu hebu fikiria kabla ya kutype.
Sent using Jamii Forums mobile app
alhamdulillah imeisha salamaOh yes am fine dia,.za jpil??
Maana yake ni kwamba arsenal ni timu ndogo ndio maana wanashine,ina maana di maria alitoka timu ndogo kule madrid akaenda timu kubwa man u akashindwaUyo Auba au Lacca wanaeza kwenda liver au man u au yeyote ile kubwa wakaboronga tu ..
Refer kwa Sanchez kutoka Arsenal kwend man u, De maria kuja man u, hao wote wameboronga apo man united lakin sio kwamba viwango havipo/havikuwepo
Nadhan unajua De maria alichofanya baada ya kuondoka man united.
Vile yule straika mColombia ..aliboronga Chelsea lakin alivyoenda Monaco alikimbiza sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
InshAllah,..alhamdulillah imeisha salama
Kweli kabisaMkuu sometimes inaumiza ila hatuna budi kuvumilia timu yetu, Ni swala la muda tu. Naamini vijana watakuwa pouwa soon
Sent using Jamii Forums mobile app
AnfieldEtihad
Anfield
Old Trafford
sijui kiwanja gani mtatoka salama hapo