Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,605
๐๐๐๐๐๐๐Mother confessor usiniambie upo darajani, nitakupa talaka tatu![]()
๐๐๐๐๐๐๐Mother confessor usiniambie upo darajani, nitakupa talaka tatu![]()
hapana dia, pole sanaaaBado unayahitaji kipenchi"?
Nimepoaa๐ชhapana dia, pole sanaaa
Hili povu la magadi....ila pongezi tumezipokea,lile goli limepigwa na bega.....ha tufanye 1 kwa nungeArsenal hongereni sana kwa ushindi mnono, lkn punguzeni kufunga magoli ya mikono kama goli la pili maana hata mwaka juzi mlimfunga hivyo hivyo Barnley FC.
Pia punguzeni kunawa ndani ya pelnaty box.
Referee angekuwa makini sana jana Ilibidi Chelsea wapewe pelnaty hata 1, sababu mlinawa zaidi ya mipira mitatu iliyokuwa ikipigwa kuelekea golini mwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapigwa na arsenal unamsifia united,huku ni kuchanganyikiwa waziwaziBila kulazimishwa tumemkabidhi Man Utd top four kila kitu kwenye team kiko below average ikifikia team inafungwa na arsenal basi ni team ya kawaida, haikuwa fair kumfunga City na kumkwamisha title race bila sababu yoyote ,all in all blue is the colour
imagine kwa game ya jana wewe ndo kocha ungethubutu kumtoa Lacazette na kuingiza watoto wakati huo huo Ozil yupo fit na anasugua benchi??? angalia game ya Liverpool ulivyooga nyingi thats why nimekuambia ile Chelsea imejifiaNan kwakwambia chelsea imejifia
Wewe ulitaka amuingize nan, sis hao ndio wachezaji wetu, graduate wa arsenal acardemy, lazima wacheze,
Wengine wapumzike kwa aajiri ya kukunyoa ijumaa
Sent using Jamii Forums mobile app
uko fine lakini?Nimepoaa
Wewe acha kelel3 subiri unyoleweimagine kwa game ya jana wewe ndo kocha ungethubutu kumtoa Lacazette na kuingiza watoto wakati huo huo Ozil yupo fit na anasugua benchi??? angalau game ya Liverpool ulivyooga nyingi thats why nimekuambia ile Chelsea imejifia
Hilo goli sio mkono ni la bega,Hili povu la magadi....ila pongezi tumezipokea,lile goli limepigwa na bega.....ha tufanye 1 kwa nunge
Kuchanganyikiwa tu mkuu,kufungwa sio kuzuriHilo goli sio mkono ni la bega,
Huyo jamaa vip au alikuwa anaangalia mpira kwenye tv ya chogo
Sent using Jamii Forums mobile app
usiwafanye hao watu mbuzi wa kafara. Hao wakina Bakayoko,Morata Drinkwater hata hawajacheza kwenye game ya jana. Tukubali tu kocha kaishiwa mbinu hana plan B. Hata tumsajili striker gani ataishia kuwa flop tu, kwa staili hii ya kuishia kumtegemea luiz ndio apige long balls kama assist, viungo wameshindwa kuwa wabunifuTimu ijifunze kumshirikisha kocha kwenye sajiri. Sajiri zote zilizofanywa na bodi msimu ulipita wamejionea jinsi zilivyoleta hasara. Drinkwater, Bakayoko, Zapacosta, Giroud, Morata hata Barkley si wa kiwango cha kuwa first team
Sent using Jamii Forums mobile app