Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Moja ya vitu vinaweza wapa ubingwa Liverpool ni ile sense ya kwamba watu walimu underrate.
Na mpaka sasa bado hawaamini anayo endelea kuyafanya.
Karibuni Anfield.
Mkuu naona tunaweza kupoteza zaidi kama wachezaji hasa hawa key players kma Hazard, Kante, Luiz ..hawatobadilika.Arsenal walitufunga nyumbani kwao Emirate 3-0 tar 24 Sept 2016 lakini morale ya wachezaji ilipanda na tukashinda game 13 mfululizo mpaka tukachukua kombe nyuma ya Spurs (2), Mancity (3), Liverpool (4), Arsenal (5)
Nakuambia mwaka huu japo hatutachukua kombe kama 2017 lakini tutashinda mfululizo na kuwapeleka Europa Arsenal na Man United kama tulivyofanya 2017. Tusubiri tuone
Usajili wowote ule ni kama kamari. Kama unaelewa hili sidhani kama unaweza kuyarudia haya maneno yakoKwani wakati unatoa £70m kumnunua moratta hukumuona huyo lacazette au auba wa £40m?hiyo pesa ilitosha hata kumtoa icardi kule inter, ila wakati unatoa paun mil 15 kumchukua giroud kwan hujamuona samatta pale genk hata paun 7 mil ungepewa tu hahahahaaa unakuja kulialia sasa hivi huna striker kama ulipewa bure kumne ulinunua mwenyewe
Jamani hakuna mtu aliyewafukuza kwenye msiba ila kuna watu wanapiga nduru humu utadhani ni mwisho wa dunia wa ChelseaHapa JF ukitokea msiba lazima watu waje kuwapa pole regardless wewe ni bingwa au umefungwa na timu inayoshuka daraja.Msiba hauna mwaliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Awasikilize pia, kocha ana haki ya kumpanga mchezaji namba yeyote anayoona ataleta manufaa kwa timu lakini pia kocha anatakiwa kusoma alama na nyakati, Hazard haipendi kabisa false no. 9 halafu yeye anaendelea tu kumlazimisha, matokeo yake ndio hayo. Key player kama Hazard akilalamika, timu nzima morale inashuka, Huko nyuma Willian alijitokeza pia kulalamikia ratiba ya mazoezi kubadilika badilika Kocha ni kiongozi na natakiwa kuwamotivate wachezaji, dossier mojawapo ya kuwa motivate wachezaji ni kuwasikilizaMkuu naona tunaweza kupoteza zaidi kama wachezaji hasa hawa key players kma Hazard, Kante, Luiz ..hawatobadilika.
Maana ni kama wanacheza kwa kulazimishwa vile, na hili Sarri kaliona na ndo maana analalamika kuwa wanacheza kwa kuridhika sana hawajitumi hawana uchungu na timu hawatafuti magoli mengi...
Hivi unadhani kuna Sarri anafurahia jinsi timu inavyocheza? Ana struggle kila day kuwa motivate lakini naona kama hakuna mabadiliko.
Me naona ni wakati wa kumuuza mtu kama Hazard, Willian, Morata, Alonso ...na kuleta damu mpya kama alivyofanya conte msimu wake wa kwanza..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hataki mshahara mkubwa kipaumbele chake ni kupewa mechi ili ainue kiwango chake, wamuache aende tu
Na kwa nyongeza kila timu inacheza huu mchezo wa kamari kwa kiingereza wanaita Gambling, unamsajili mchezaji mzuri anakuja kuwa mbovu na saa nyingine anakuwa mbovu kwako tu, akienda kucheza timu nyingine anakuwa mzuri, Saa nyingine unamsajili mchezaji wa kawaida tu anakuja kuwa supastar. Ni Messi na Ronaldo tu ndio una uhakika wa kupata faida kutoka kwao. Angalia Sanchez kwa Man U, Man U walibet ikala kwaoUsajili wowote ule ni kama kamari. Kama unaelewa hili sidhani kama unaweza kuyarudia haya maneno yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki mshahara mkubwa kipaumbele chake ni kupewa mechi ili ainue kiwango chake, wamuache aende tu
Na kwa nyongeza kila timu inacheza huu mchezo wa kamari kwa kiingereza wanaita Gambling, unamsajili mchezaji mzuri anakuja kuwa mbovu na saa nyingine anakuwa mbovu kwako tu, akienda kucheza timu nyingine anakuwa mzuri, Saa nyingine unamsajili mchezaji wa kawaida tu anakuja kuwa supastar. Ni Messi na Ronaldo tu ndio una uhakika wa kupata faida kutoka kwao. Angalia Sanchez kwa Man U, Man U walibet ikala kwao
CHELSEA star Eden Hazard will join Real Madrid this summer after agreeing a five-year deal.
“And they are €13m (11.44m) net per season (£220,000-a-week) plus one in case the league is won.
“Another if it is Golden Ball and one and a half if it is a European champion.
“And the contract is for five seasons.”
According to Ok Diario, Real are not willing to pay more than €100m (£88m) and their first offer will be around €75m (£66m).
haahaaha Hazard anaenda kupokea £220,000 kwa week. HaahaahaaCHELSEA star Eden Hazard will join Real Madrid this summer after agreeing a five-year deal.
“And they are €13m (11.44m) net per season (£220,000-a-week) plus one in case the league is won.
“Another if it is Golden Ball and one and a half if it is a European champion.
“And the contract is for five seasons.”
According to Ok Diario, Real are not willing to pay more than €100m (£88m) and their first offer will be around €75m (£66m).
hata akisajiliwa kabla ya huo muda sidhani kama atacheza hiyo game ya alhamisiChelsea's press conference is at 1pm tomorrow with Maurizio Sarri ahead of Tottenham in the cup. I hope he'll be able to talk openly about Higuain and Morata. The EFL told me that the deadline to register a player ahead of the match is at 12 noon tomorrow. #CFC