Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha Morata kurudi kwenye kuimarika labda asepe apo Darajani.

Refer kwa Salah, alipokuwa Chelsea alipoteana kabisa ..lakini baada ya kuondoka na kurudi amekuwa bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie hamna academy? Hamuoni lingard na rashford wanasumbua kwetu japo lingard sio mbunifu na simuamini ila anakimbia sana kuwapa shida viungo na mabek timu pinzani?

Kazi kuhangaika sokoni tu lukaku anaangalia jukwaani mtoto tuliemkuza anafunga tu nyie vipi? Kenedy na chiloba nao hamuwamini mmeuza yule dogo kwenda lyon alikuwa anakuja vizur kule ajax
 
Morata sio kiazi wewe ..acha ushamba.

Hivi ukimtoa Auba kuna mwingine apo arsenal anaweza mweka nje Morata?

Ni upepo tu unamwendea vibaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo gan toka aje chelsea hana lolote

Ngoja nikwambie kumtetea morata ni ujuha, morata hana uwezo wa kubatle hata na tam abraham, lkn mnamuona anajua kisa alipitia timu kubwa

Ukweli usemwe morata ni kiazi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie hamna academy? Hamuoni lingard na rashford wanasumbua kwetu japo lingard sio mbunifu na simuamini ila anakimbia sana kuwapa shida viungo na mabek timu pinzani?

Kazi kuhangaika sokoni tu lukaku anaangalia jukwaani mtoto tuliemkuza anafunga tu nyie vipi? Kenedy na chiloba nao hamuwamini mmeuza yule dogo kwenda lyon alikuwa anakuja vizur kule ajax
Hawa hawaamin acardemy, wananiudh hapo tu

Wana wachezaji wazur sana wadogo, wana kipa wa acardemy, alidaka vzr game ya pre season ya arsenal, wamemficha wapi sijui, wana odoi , wana kennedy sijui washamuuza, wana ruben loftus cheek, wana tam abraham

Lkn hawaamini,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuz wenu, mna batshuay ,tam abraham,

Mnaenda kuhangaika na kina higuan kitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu ukiangaika na hawa wa academy kuja kubeba makombe usahau ..angalia man united same struggle kiasi gani na Martial, lingard, rashiford, mpaka sasa wanaonesha uhai.

Tatizo la Chelsea ni usajili wanaofanya hauna impact kwa future ya badae. Timu inachotaka ni makombe tu ..ukitumia madogo utaishia kucheza uropa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeuza dogo mzur lyon mmechukua jirud na fat joe higuin mnamtaka mnaongeza idadi ya mizigo tu kwa nini basi msimpe nafasi batshway marasta?

Kesho utasikia crouch na andy caroll wanatakiwa na chelsea
 
Chelsea mnajua kuspend, mkiamua icard kesho atue hapo darajan anatua,

Halafu hamtak kuwaamin mastraika wenu mliowakopesha, morata na giroud stail yao ni moja

Higuain kwasasa epl haiwez, kwanza anakitambi kama JB, pia ameshapoteza ule uwezo wake wa kutupia

Tatizo jingine sari anakomaa na jorginho kwenye namba 6 ,siku atakapofukuzwa, kocha ajaye cha kwanza, atamrudisha kante 6 ,ataleta forwad ,bas timu itatembea

Wengi mnambeza hazard kwa game hiz, hazard akicheza force 9 hana makali yoyote,

Bek zinacheza kwa uhuru,

Jana tumepata cleenshit ya kibabe ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni kwa cleenshit ..jana ni kama hamkuamini kama mungeshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawaamin acardemy, wananiudh hapo tu

Wana wachezaji wazur sana wadogo, wana kipa wa acardemy, alidaka vzr game ya pre season ya arsenal, wamemficha wapi sijui, wana odoi , wana kennedy sijui washamuuza, wana ruben loftus cheek, wana tam abraham

Lkn hawaamini,

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanauza vijana yanakimbilia kununua ma fat joe
 
Sasa mkuu ukiangaika na hawa wa academy kuja kubeba makombe usahau ..angalia man united same struggle kiasi gani na Martial, lingard, rashiford, mpaka sasa wanaonesha uhai.

Tatizo la Chelsea ni usajili wanaofanya hauna impact kwa future ya badae. Timu inachotaka ni makombe tu ..ukitumia madogo utaishia kucheza uropa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford katupa europa league tena goli zake zimetuvusha hatua za mtoano had final alisaidiana na mik zlatan aliumia
 
Hahahaha Haya meneno yamekuja baada ya kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, mm ndan ya moyo wangu kabisa niliona tunawanyoa

Hiz derby huwa tunajituma sana hasa tukiwa home, siuliona jana tulivyokuwa tunawakabia juu the same na mech ya tot

Kipind cha pil nilijua mtacheza sana, lkn ilishakuwa too late nimeshapata nilichokihitaji

Cha msing sasa tumuombee mabaya tot na man u,

Sion tot akihimili bila kane na son, ataacha point na kumtoa hapo juu, plus ana mech za UCL

Man united ashinde lakini abaki hapo hapo. Tottenham sio wa kumuwaza.!
IMG-20190120-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukidevelop young players utegemee kukaa miaka minne/mitano bila kombe lolote.

Nini mbona mna Salah, VVD, Keita, Fabinyo..

Msingenunua mungedevelop hao youths wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maeneo yanahitaji wachezaj wazoefu hasa humo ulimotaja kumbuka sisi tumechukua ubingwa na tom cleverly danny welbeck na wakina fabio na rafael hawa tumewakuza sasa kama chelsea maeneo nyeti kuna watu wa shoka unashindwaje kupandisha madogo namba 11-10 na 7 au 9?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom