radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Siku akifyatuka chelsea na arsenal mnatafutana kumbuka tulianza kukata gep la point chelsea ulitupiga 11 arsenal 8 spurs 12 saiv tunaongelea point 3 arsenal idadi ya magoli huoni kuna maendeleo ya hatar kwa united?Man united ashinde lakini abaki hapo hapo. Tottenham sio wa kumuwaza.!View attachment 1000103
Sent using Jamii Forums mobile app