Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arsenal hongereni sana kwa ushindi mnono, lkn punguzeni kufunga magoli ya mikono kama goli la pili maana hata mwaka juzi mlimfunga hivyo hivyo Barnley FC.

Pia punguzeni kunawa ndani ya pelnaty box.

Referee angekuwa makini sana jana Ilibidi Chelsea wapewe pelnaty hata 1, sababu mlinawa zaidi ya mipira mitatu iliyokuwa ikipigwa kuelekea golini mwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kuwa na haya wewe! goli gani la mkono mmefungwa jana?
 
Bila kulazimishwa tumemkabidhi Man Utd top four kila kitu kwenye team kiko below average ikifikia team inafungwa na arsenal basi ni team ya kawaida, haikuwa fair kumfunga City na kumkwamisha title race bila sababu yoyote ,all in all blue is the colour
Wacha kukata tamaa mapema.

Man United wala Arsenal hawana nafasi top four.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jorginho jipu kivipi?
Kumlaumu mchezaji mmoja ni makossa, jana timu haikuwa na morale, nahisi kuna shida kwenye benchi la ufundi akiwepo kocha. Arsenal sio timu ya kutufunga kwa staili ile jamani
 
Sarri: "Oggi preferisco parlare italiano, voglio mandare un messaggio ai miei giocatori e non voglio parlare male in inglese ...... Devo dire che sono estremamente arrabbiato perché questa sconfitta è stata sul nostro mentalmente. "
Ukiona mtu mzima anaongea lugha ya mama yake jua mambo magumu, lakini bado mbishi anasema hatabadilika, Jourginho atacheza palepale, Kante pale pale, mfumo ni ule ule wa 4-3-3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom