OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Unawezaje kumfananisha Morata, Giroud na mtu kama Laccazete au Auba?Morata na jirudi mliletewa na nani?
Kwa ufupi sisi hatua straika ya kubadili matokeo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kumfananisha Morata, Giroud na mtu kama Laccazete au Auba?Morata na jirudi mliletewa na nani?
Mlipotoa sijui £65 au £70 hamkujua hayo?Unawezaje kumfananisha Morata, Giroud na mtu kama Laccazete au Auba?
Kwa ufupi sisi hatua straika ya kubadili matokeo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana morale na pia wana kikosi kizuri pengine kuliko sisi Chelsea, lakini sio kwamba hawatofungwa.Kwa morale walionayo Man United sio timu ya kuibeza, hata wakati wa Mou mimi sikuwahi kuibeza Man United, imesheheni wachezaji bora na sasa wanajituma ile mbaya
Sarri anafaa kuifunza timu iliyokamilika kama Man United.Hahahaha wewe wa sariball??
Hizo zilikuwa ni sababu za kibiashara tu.Mlipotoa sijui £65 au £70 hamkujua hayo?
Chelsea tuna timu bora pengine hata kuliko Man U na Arsenal lakini morale haipo, no consistency sasa kwa hiyo hatujui tutashinda mechi ipi na ipi tutafungwa. Mara leo tumewafunga Man city kesho tumefungwa na Arsenal ambayo kwa maoni yangu wana defense mbovu kwenye EPLWana morale na pia wana kikosi kizuri pengine kuliko sisi Chelsea, lakini sio kwamba hawatofungwa.
Kama jana Arsenal hakutegemea kama angeshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri sio kocha wa kuipa timu mafanikio kashindwa kushinda kombe hata moja na napoli nilikuwa najiuliza ni kipi mlikiona? Hata manchester united hafai kuifunza hana sifa.Sarri anafaa kuifunza timu iliyokamilika kama Man United.
Sio Chelsea ambayo bdo kuna tatizo la straika, beki ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu tuendelee kufunga na kusali kwa Mungu morata aimarike.Hizo zilikuwa ni sababu za kibiashara tu.
Pengine ni kama kamari tulicheza, hata hivyo Conte hakuusika na huu usajili.
Ila Morata bado yupo vizuri tu. Labda mfumo na presha ya ligi ndo vinamchanganya..
Akitulia atakuwa straika bora kabisa kuwahi kutokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilitegemea mapema tu kuwa tunawanyoaWana morale na pia wana kikosi kizuri pengine kuliko sisi Chelsea, lakini sio kwamba hawatofungwa.
Kama jana Arsenal hakutegemea kama angeshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuz wenu, mna batshuay ,tam abraham,
labda mpige kwata
Hahaaa liver mambo yakiendaga mlama wanamuachia grupu malafyaleSisi sio mashabiki wa Liverpool.
Hatuna tabia za kukimbia jukwaa kama nyie na kumwachia Malafyale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ubora wenu ni kwenye nini?Chelsea tuna timu bora pengine hata kuliko Man U na Arsenal lakini morale haipo, no consistency sasa kwa hiyo hatujui tutashinda mechi ipi na ipi tutafungwa. Mara leo tumewafunga Man city kesho tumefungwa na Arsenal ambayo kwa maoni yangu wana defense mbovu kwenye EPL
Chelsea mnajua kuspend, mkiamua icard kesho atue hapo darajan anatua,Unawezaje kumfananisha Morata, Giroud na mtu kama Laccazete au Auba?
Kwa ufupi sisi hatua straika ya kubadili matokeo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn huyu alikuwa anakuja man u, sijui ilikuwaje aisee, hakuna aliyekuwa anajua kuwa morata ni kiazi kiasi hikiMlipotoa sijui £65 au £70 hamkujua hayo?
Hapana tatizo la Chelsea sio Sarri Bali ni hatuna wachezaji wa kubadili matokeo kama Man united.Sarri sio kocha wa kuipa timu mafanikio kashindwa kushinda kombe hata moja na napoli nilikuwa najiuliza ni kipi mlikiona? Hata manchester united hafai kuifunza hana sifa.
Yaa ndio tunashukur ilibumaLkn huyu alikuwa anakuja man u, sijui ilikuwaje aisee, hakuna aliyekuwa anajua kuwa morata ni kiazi kiasi hiki
Hebu angalia hii clipView attachment 1000071
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kocha sio wachezaji hivi kante anachezaje kule? Huoni kama yule jojinho angecheza mbele ya kante angekuwa mzur?Hapana tatizo la Chelsea sio Sarri Bali ni hatuna wachezaji wa kubadili matokeo kama Man united.
Ninyi muna viungo vya kazi, beki za kupaki na kuzuia mashambulizi, sasa kwa Chelsea hatua watu kama hao.
Sarri anaweza kabisa kuifunza Man united na kupata mafanikio mazuri tu.
Kwani Ole ana kombe gani? Mbona anafanikiwa apo Man u? Ni kwa sababu ya aina ya wachezaji alionao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Morata kurudi kwenye kuimarika labda asepe apo Darajani.Haya mkuu tuendelee kufunga na kusali kwa Mungu morata aimarike.
Morata sio kiazi wewe ..acha ushamba.Lkn huyu alikuwa anakuja man u, sijui ilikuwaje aisee, hakuna aliyekuwa anajua kuwa morata ni kiazi kiasi hiki
Hebu angalia hii clipView attachment 1000071
Sent using Jamii Forums mobile app