Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,269
Hahaha asee hiyo picha imenichekesha sana



Hahaha asee hiyo picha imenichekesha sana



Sub gan , kocha anabadilika badilika, kocha ndio anajua , hiyo game manyua nakunyoa vzr, situpo hapakwa kocha yule na subs zile usitegemee hayo
yani unatoa wanaume unaingiza wavulana hatima yake wanaenda kurukaruka uwanjani na vile umekuta Chelsea iliyojifia wallah ungeoga nyingiSub gan , kocha anabadilika badilika, kocha ndio anajua , hiyo game manyua nakunyoa vzr, situpo hapa
Wewe unakuja tu mbele ,nitakuweka sichin ya goli 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tutakufanya kitu hutaamini mark my words!Sub gan , kocha anabadilika badilika, kocha ndio anajua , hiyo game manyua nakunyoa vzr, situpo hapa
Wewe unakuja tu mbele ,nitakuweka sichin ya goli 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyesema. Kwani weqe umesikia kwa nani.?Nani kawaambia kuwa Hazard ni center forward?
Poor performance from Hazard, Willian and Kante
Mlikaba na watu wangapi Anfield na bado akafanya nini.? Sitaki jibu, unajua nini kilizokea paleAshajuliwa jinsi ya kudeal naye, ukimkaba na watu kuanzia watatu hafurukuti
Nan kwakwambia chelsea imejifiayani unatoa wanaume unaingiza wavulana hatima yake wanaenda kurukaruka uwanjani na vile umekuta Chelsea iliyojifia wallah ungeoga nyingi
Cheltako bhana, sasa arsenal hii nan kwakwambia imekamilika, arsenal.hii ambayo haijafanya usajir wa kueleweka,
Hahahahahahahahahahahahahahahaha mna timu ya OVYO SANAMlikaba na watu wangapi Anfield na bado akafanya nini.? Sitaki jibu, unajua nini kilizokea pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso na Willian ni majipu. Jorginho nae ni jipu
