21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Duu pamepoa sana hapa utafikiri hamna game leo
Ngoja turudishe...watakuja tuuDuu pamepoa sana hapa utafikiri hamna game leo
hahaahaaNgoja turudishe...watakuja tuu
Usicheke sana,.utacheka dk 90 zikiishahahaahaa
kweli kabisa mkuu, poor performanceLeo Chelsea akitoa suluhu tu basi atakuwa kashinda yeye hii mechi maana sioni dalili za kushinda kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea njia chief...kwanza mna points ngapi mpaka sasa???
Chelsea anaendelea kupapaswa.Mbona hatupeani updates ndugu zetu..?
Nini kinaendelea..?

Soma huko, ngapi hiyoooUmepotea njia chief...kwanza mna points ngapi mpaka sasa???
Una presha sana injiniaa,..hahah