Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Eti Sarri ball 

kenge kabisa. Unamchezesha Kante winga mshambuliaji unategemea nini???? Unamchezesha jorgihno katikati wakati ndio kwanza mgeni katika ligi ya Uingereza unategemea nini??????? Yaani hii Sarri Ball inafanya wachezaji kama kina Hazard, Azipilicueta, Alonso, Kante, n.k waonekane wabovu. Timu inapiga pasi nyingi lakini hakuna cha maana katika hizo pasi, ngoja mkutane na man City alafu mcheze huo upuuzi wenu muone mtakacho fanywa. Lakin mtapata wapi mda wa kupiga piga hivyo vipasi vyenu kwa city 