Hazard ni mchezaji mzuri,sawa, lakini tujiulize, anaweza kuwafungia mabao mangapi kwenye season moja? Mpaka sasa ameichezea chelsea game 317 na kufunga jumla ya magoli 97. Hii ni sawa na wastani wa magoli 0.39!
Mnaweza kumwachia akaenda zake huko madrid na mkapata winger mwingine mwenye ubora kama wake na bei ikawa ndogo. Alichonacho Hazard ni ile spark yaani amshaamsha ambayo anayo pia Willian na kidogo pedro,kumbuka those r wingers.
Kingine. Hazard anajua siri ya kupata balon di'or. Umri unaenda na anaamini ili upate ballon d'or lazima ukacheze soka spain hasa zile club mbili kubwa. Yaani Real Madrid na Barcelona....