lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Ili angalau wapate mbinu za kupata silverwareNdio maana nimewakiribisha waendelee kujaza forum ,
Ili angalau wapate mbinu za kupata silverwareNdio maana nimewakiribisha waendelee kujaza forum ,
Hah hah ... Mpira unachezwa huko sisi hapa jukwaani tunajaza server za Maxime Melo , all in all matokeo mabaya ndio kipimo cha kocha mzuri , acha tuoane next Sarri's approach vs Man city , hata kabla ya kupoteza mechi ya juzi tumekuwa na changamoto kadhaa recently za kimfumo na underperforming players Hazard akiwepo , Alonso , Luiz , Willian , Giroud na Morata,.. We have been here long enough , hatuwezi kuwafukuza wageni na wapita njia ..
Hii ni lugha ya wakubwa hutaelewa!
Tunatofautiana kwenye huu "ushabiki" , some of us tuna prefer zaidi kubaki kwenye forums zetu kushangilia na kukosoa penye mapungufu kuliko kushinda forums za time nyingine na wale wengine ambao ni waweka kambi kwenye forums za timu nyingine simply kwa kuwa timu husika hazina matokeo mazuri , Ila huwezi kulaumu kitu kila mtu ana hulka zake ... Kwa hiyo wazee huu ni muda wenu kuweka kambi hapa najua at the end of the season silverware ndio zita define msimu .. We have been here, we are here and we will always be here , kwa niaba na "Rant boys" wote,KTBFFHThat is beauty of the game, an ordinary person would think we are fools for losing time discussing tactical issues regarding our teams, but we fans know how important we are to the game, without us, there is no game. Who would they be playing for?
So, we are here till you chase us by winning day in day out.
Mfano mdogo nenda kwenye page ya Liverpool, frequency ya wageni kutoka Chelsea imepungua kwa sababu they feel ashamed kuipigia kelele timu ambayo at least iko in shape kulinganisha na yao.
Tunatofautiana kwenye huu "ushabiki" , some of us tuna prefer zaidi kubaki kwenye forums zetu kushangilia na kukosoa penye mapungufu kuliko kushinda forums za time nyingine na wale wengine ambao ni waweka kambi kwenye forums za timu nyingine simply kwa kuwa timu husika hazina matokeo mazuri , Ila huwezi kulaumu kitu kila mtu ana hulka zake ... Kwa hiyo wazee huu ni muda wenu kuweka kambi hapa najua at the end of the season silverware ndio zita define msimu .. We have been here, we are here and we will always be here , kwa niaba na "Rant boys" wote,KTBFFH
Endelea kukarili kama mtoto wa form 1suala la nafasi sio ishu kubwa sana suala la maana zaidi tuangalie end of the season nani katoka na nini....isije ukaja kuleta stori tu hapa wakati ni trophiless........mara ngapi unakuwa katika hiyo nafasi then end of the day unainamisha kichwa chini wanaume wananyanyua kwapa........
Ww mwenyew umeujaza sana wa LFC na vicomment vyenu uchwaraa mambo yamewaharibikia mnashindwa muingie vp kuleNa wale wadau wa timu nyingine , endeleeni kujaza forum yetu ... Inaweza kuuwasaidia kupata hata Micky mouse cup at the end of the season
Maneno ya shombo hayaHah hah ... Mpira unachezwa huko sisi hapa jukwaani tunajaza server za Maxime Melo , all in all matokeo mabaya ndio kipimo cha kocha mzuri , acha tuoane next Sarri's approach vs Man city , hata kabla ya kupoteza mechi ya juzi tumekuwa na changamoto kadhaa recently za kimfumo na underperforming players Hazard akiwepo , Alonso , Luiz , Willian , Giroud na Morata,.. We have been here long enough , hatuwezi kuwafukuza wageni na wapita njia ..










*Wolverhampton vs Chelsea*
Game begins in *52 mins*!
Goal!!
*Wolverhampton vs Chelsea*
Goal!!
*Wolverhampton vs Chelsea*
Álvaro Morata
Yellow to Rúben VinagreManeno ya shombo haya
Huu ni ushabik
Kisu kimegusa mfupaa



we acha tu.
Mkuu unatamani watu waliostaafu tayari?
Hali ngumu kweli.
Ko huendagi forums za teams zingine?Tunatofautiana kwenye huu "ushabiki" , some of us tuna prefer zaidi kubaki kwenye forums zetu kushangilia na kukosoa penye mapungufu kuliko kushinda forums za time nyingine na wale wengine ambao ni waweka kambi kwenye forums za timu nyingine simply kwa kuwa timu husika hazina matokeo mazuri , Ila huwezi kulaumu kitu kila mtu ana hulka zake ... Kwa hiyo wazee huu ni muda wenu kuweka kambi hapa najua at the end of the season silverware ndio zita define msimu .. We have been here, we are here and we will always be here , kwa niaba na "Rant boys" wote,KTBFFH
na hilo ndio tatizo kuu la maloser hawautakagi ukweli kwa gharama yoyote............sasa wewe endelea kusubiri meli airpotEndelea kukarili kama mtoto wa form 1
fact, mzee....Mkuu umeongea point kwamba tunatofautiana, mimi ni moja ya watu huwa natembelea pages za timu pinzani kujielimisha nini wanachojadili kuhusu timu zao and if I have input nazungumza, pia kutaniana in a good way, soft trash talks ni common kwenye sports, nahakikisha kwamba sivuki msitari, na kukiwa na mshabiki ambaye naona tutakerana kwa sababu ya abusive languages anazotumia huwa namweleza asipobadilika namweka kwenye ignore list maisha yanaendelea.
Kwa hiyo hata mkiwa mnafanya vizuri kuna muda nakuja kusoma updates, kuelewa vitu kadhaa kuhusu timu, maana huwa siwezi kwenda kwenye websites au knowledge tools za timu tofauti na ninayoishabikia, kwa hiyo najikuta source kubwa ya info ni JF.
All in all washabiki tunatofautiana kama unavyosema.
Ko huendagi forums za teams zingine?
Ko huendagi forums za teams zingine?