Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo la kwanza lipo kimfumo kwamba ukimshika Jorginho basi umeizuia Chelsea hata ukiangalia ktk game za nyuma ya Man U, Everton na jana Tottenham.

Na katika game hizo zote hakuna matokeo mazuri ambayo tumepata zaid ya sare 2 na tumefungwa mechi moja. Na tunapoelekea kwa njia hiyo tutakuwa tunafungika kirahisi n kuzuiliwa kirahisi pindi hata tutakapokutana na team ndogo .

Pili David Luiz ni beki mzuri ila anapokutana na washambuliaji wenye speed ni tatizo tumeona game ya Crystal Palace alimsindikiza Townsend na hatimae alifunga jana ktk magoli yote matatu kahusika. Goal la kwanza ila foul kaitengeneza yeye na ndio ikawa goli. Goli la pili ameuona mpira unaenda golini uwezo wa kuuzuia anao akaupisha jambo ambalo hata Kepa mwenyew akawa anashangaa kwanini ameupisha likawa goli kutokana Kepa alijua David Luiz atafanya clearance ya ule mpira wa Kane na pia Luiz aliupisha kwakuwa alijua akiugusa ataubadilisha muelekeo na huenda akampoteza golikipa wake ila hapa tatizo kubwa ni kukosa mawasiliano baina ya Luiz na Kepa.

Goli la tatu Luiz ameshaona kabisa Jorginho ameshakuwa outpaced na Son akafanya jambo zuri la kutoka kwenda kusaidia ila mwisho wake madudu bora hata asingeenda maana kampa umaarufu Son. Inaonekana kamtoka Jorginho, Luiz, na akafunga .😅

Hatuna mtitiriko mzuri wa mipira inapofika katikati kuelekea mbele mipira mingi inapotea na pili tunahitaji kupata a good striker sio backup striker ambae anakuja kuongeza nguvu tu kikosini tuonekane tuna foward watatu hapana kikubwa tupate striker ambae ataendana na mfumo wetu na kwa striker wenye kasi na mfumo wetu ambao wanaonekana ni kwa haraka ni wawili Mauro Icardi na Timo Werner.
 
Na kwa upande wa Azpilicueta inabidi tupate mtu ambae anauwezo mkubwa aje amchangamshe maana anasinzia sana upande wake hakuna movement ya mpira wakipiga pasi 3 unakuta mpira umechukuliwa na timu pinzani.

Kepa sina tatizo nae maana amefanya save nyingi na hata hayo magoli yana individual mistakes kwahiyo mm siwez kumlaumu kipa kwakwel kama Jorginho angemzuia Son wala lisingetokea goli la tatu na hii imetokea baada ya game yetu ya Everton nakumbuka kuna tukio moja lilitaka kufanania na la jana Gylif Sirguddson alikuwa upande ule ule wa Son anakimbia na mpira Jorginho akamchezea foul ikawa hata kweny mitandao ya jamii wanasema alipaswa apewe red card sijui labda alikuwa anawaza lile tukio kwamba anaweza kupewa red card hatuwez kujua nn alikuwa anawaza muda ule.
 
Kumvumilia Luiz kama atabadlika ni uongo. Umri ushamuacha tuingie January kwenye usajili mabeki wazur wengi (Milan Skriniar au Kalidou Koullibally) bora tutoe hela nyingi
 
Hahaha naona gap linaongezeka na Liverpool afu spurs na yy huyoapo mkiani kwenu

Fegi na mpira wapi na wapi????
 
Mnapeleka wavuta Bhangi Wembley Pumbavuuu
IMG_20181125_091707_417.JPG
 
Dah! Kweli Siku Hazigandi aiseee! 😀😀
Hapa Katika Game 5 za mwanzo ilikuwa tafrani hapa Watu Kutiririka na Stats za Kuwa Kepa Ni bora kuliko Alisson...
Leo hii Munaanza Kummulika Pickford??
Huyo Alison kwa ubora upi alionao kila orodha za makipa zikitolewa Pickford ederson wako juu yake, any way sipendi ligi kwa sababu watoa orodha ni binadam kama wewe
 
Japo jana spurs aliwakamata kila idara ukweli ni kwamba inabida mswitch kurudi kwenye ile formation ya 3-5-2 aliyokuwa akitumia Conte. Azpliquetta ameshindwa kufanya ile kazi aliyokuwa akifanya Moses, Japo Alonso anaonekana kupambana. Zile flank zimekufa

Ukiangali kwa makini utagundua kuwa tangu amekuja Sarri zile croos zilizokuwa zinapigwa na Moses na Alonso kwa sasa hazipo. Hivyo kwa aina ya washambuliaji wenu yaani Morata na Giroud inakuwa shida kufunga sababu cross haziji.

Wanategemea kupata mipira toka kwa Hazard na Willian ambao aina yao ya uchezaji inafanana. Wote wanapenda kudrible, kushoot, na akiingia Pedro naye anacheza kama hao wawili. Morata na Giroud wote ni natural number 10, yaani clinical finishers ila wanakosa support toka kwa Hazard na Willian.

Nini kifanyike. Moses arudishwe kikosini. Mrudi kwenye 3-5-2.

Poleni japo inauma.
Cc Jasho La Kuku
 
Duuuh Morata na Giroud wote ni natural nnumber 10?Reeeeaaalllly?Kweli Nimeamini kipigo kinachanganyaa ‍♂️
 
Duuuh Morata na Giroud wote ni natural nnumber 10?Reeeeaaalllly?Kweli Nimeamini kipigo kinachanganyaa
Ni manatural namba 10! Morata akiwa RealMadrid na Juventus nadhani wote mliona alichokuwa akifanya. Giroud kabla ya kuja Arsenal akitokea Montpellier alikuwa ni mfungaji bora kwenye legue 1. Alipokuja Arsenal naye hakuwa mbovu ki hivyo.

Mie naona anastruggle akiwa Chelsea.
 
Kila familia kupata msiba ni kawaida ni swala la muda tu!
 
Huyo Alison kwa ubora upi alionao kila orodha za makipa zikitolewa Pickford ederson wako juu yake, any way sipendi ligi kwa sababu watoa orodha ni binadam kama wewe

Kwani tunaangalia Orodha au tunaangalia Wanachokifanya Uwanjani?

Sasa wewe endelea Kuamini Orodha kuwa Pickford Ni bora kuliko Alisson.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom