Umekariri ndio maana unasema hivo, humjui Toreira wewe
Kante namjua toka yopo leicester
Kante huyu ambaye huwa anapotezwa na Ozil ?
Kante ni DM anayezurura tu, kante sijui kwanini mnakariri anajua sana , wakati sivyo,
Kante nimekuwa namfatilia game za arsenal toka lei, huwa anatia huruma sana,
Toreira hii mtu achana nayo kabisa ,
Kwanza anacheza namba 2 kwa ufasaha wa hari ya juu, box to box anakupigia vzr kitu ambacho kante hakiwez, anafosiwa sasa hiv na sarri,
Ukija kwa DM, sijaona kama TOREIRA epl...nzima, nimeweka ushabik pembeni
[emoji648] @LTorreira34's numbers yesterday...
[emoji2397][emoji2389]% passing accuracy [emoji457]
[emoji647]km covered [emoji125]
[emoji647] ball recoveries [emoji664]
[emoji2396] duels [emoji95]
[emoji2390] tackles [emoji732]
...and yet another man-of-the-match award [emoji94]
Na hii ndio mech ambayo alichoka sana. Na akaomba sub, lkn bado akabak MOT
HII MTU WAUIZE LIVERPOOL ,au muulize CR7
View attachment 947230