Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
3-1Jameni tupeane updates, game na Spurs sangapi....?
3-1Jameni tupeane updates, game na Spurs sangapi....?
Naendelea kukazia tu nilichokiandika Oct.30,20181. Chelshit haimalizi ligi top3
2. Hazard hafikishi goals 20
May 2019



Naona mmefurahi sanaSarri ball ya Nyoko![]()
Tunashinda 3-1toten lazma wakae
Tupe historia ya marehemNaona mmefurahi sana

Ya ChelseaKuna habari gani hapa..!?

