Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Eden Kimario tunaomba utuletee yale masufuria ya kupikia Msibani

Msiba wa leo umeshakuwa mkubwa wanakamati wote mjipange vizuri kuwadaka wafiwa na kuwamwagia maji watakao zimia
 
Hapana hii tv ya jirani itakua na utani na mimi

Hiki ninachokiona si kweli bhana

Ikifika kesho asubuhi ndio taamini.
 
Mkuu Eden Kimario tunaomba utuletee yale masufuria ya kupikia Msibani

Msiba wa leo umeshakuwa mkubwa wanakamati wote mjipange vizuri kuwadaka wafiwa na kuwamwagia maji watakao zimia
Namtafuta sana huyu jamaa sijui kajificha wapi?
 
Mkuu Ollachuga
Mkuu Southern Highlands
Mkuu Jasho La Kuku
Tunaomba mtuandikie historia fupi ya Marehemu .......... Marehemu alikuwa anasumbuliwa na nini Marehemu alikuwa mtu wa namna gani.
 
Mkuu Ollachuga
Mkuu Southern Highlands
Mkuu Jasho La Kuku
Tunaomba mtuandikie historia fupi ya Marehemu .......... Marehemu alikuwa anasumbuliwa na nini Marehemu alikuwa mtu wa namna gani.

Marehemu alikua ni mtu wa kidomo domo sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom