Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
😀😀
Ile post ipo kwenye uzi wetu... 😀😀


Una kichwa nzito kama turubai ya jeshi asee jombaa
Dah! Maisha yanakwenda Kasi Kweli!!! 😀😀
View attachment 945319View attachment 945320
eden kimario
Southern Highland
Ollachuga Oc
Antonio Conte
Mentor
hazard cfc
ryana fan
lembu
Ninawasalimia tu wakuu habari zenu?
Dah! Maisha yanakwenda Kasi Kweli!!! 😀😀
View attachment 945319View attachment 945320
eden kimario
Southern Highland
Ollachuga Oc
Antonio Conte
Mentor
hazard cfc
ryana fan
lembu
Ninawasalimia tu wakuu habari zenu?
Dingoo apa nateseka ya ela ote ..Hatuteseki dingoo wewe je? Kwani unateseka?![]()
Pia mfumo huu unatupatia matumizi mabaya ya kante, lakini bado najiuliza aliyetoa m80 kusajili kepa alishindwa vipi kutoa hata 70 kwa Pickford ,Chelsea tunataka vikombe mambo ya uvumilivu ni ya Liverpool na spurs huyo kepa mpaka awe matured tumeshakula vitasa sana