loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
akikujibu unitagVipi eden kimario bado Ni Unbeaten?
akikujibu unitagVipi eden kimario bado Ni Unbeaten?
kweli sisi tunaweza tusishinde chochote tukashinda mwakani ila wewe hauwezi kushinda epl kabisa mpaka miaka 50 enzi yako ilishapitaPoleni sana watani zangu
Ndiyo soka lkn isha sema hapa mwaka huu undeni bado team hamuwezi shinda chochote kwa beki Luiz na Rudiger
Lkn mwakani mtakuwa title contenders mwaka huu bado hamna team
Nani sasa hapa bado hayaogopi Majogoo ya Anfield?
Kipi kinakufanya uamini City siku zake zinahesabika na sio Liverpool?Zari footbal ndio basi tena! Au ni zari demu wa zamani wa diamond?
Anyway kigogo atabaki ni majogoo wa jiji tu, city siku zake zinahesabika
Kwani unateseka?Mkuu Ollachuga
Mkuu Southern Highlands
Mkuu Jasho La Kuku
Tunaomba mtuandikie historia fupi ya Marehemu .......... Marehemu alikuwa anasumbuliwa na nini Marehemu alikuwa mtu wa namna gani.
Ni kipigo heavy lakini bado sisi ni bora.Poleni sana watani zangu
Ndiyo soka lkn isha sema hapa mwaka huu undeni bado team hamuwezi shinda chochote kwa beki Luiz na Rudiger
Lkn mwakani mtakuwa title contenders mwaka huu bado hamna team
Nani sasa hapa bado hayaogopi Majogoo ya Anfield?
Ni kipigo heavy lakini Bado sisi ni bora.Dah! Maisha yanakwenda Kasi Kweli!!! 😀😀
View attachment 945319View attachment 945320
eden kimario
Southern Highland
Ollachuga Oc
Antonio Conte
Mentor
hazard cfc
ryana fan
lembu
Ninawasalimia tu wakuu habari zenu?
Ni kipigo heavy lakini bado sisi ni bora.
I wish niipate ile post ulomwambia Mentor anajishushia heshima kwa post zake.

Nyie ni mwaka wa ngapi mnaunda timu.?Poleni sana watani zangu
Ndiyo soka lkn isha sema hapa mwaka huu undeni bado team hamuwezi shinda chochote kwa beki Luiz na Rudiger
Lkn mwakani mtakuwa title contenders mwaka huu bado hamna team
Nani sasa hapa bado hayaogopi Majogoo ya Anfield?
I wish niipate ile post ulomwambia Mentor anajishushia heshima kwa post zake.
Man this is part of the game so chillax. Unajishushia heshima![]()
Hatuteseki dingoo wewe je? Kwani unateseka?Kwani mnateseka??!

Una kichwa nzito kama turubai ya jeshi asee jombaaI wish niipate ile post ulomwambia Mentor anajishushia heshima kwa post zake.
Man this is part of the game so chillax. Unajishushia heshima![]()
Kaitafute kule kwenye uzi wetu na Hata heshima ikishuka Acha ishuke tu na ishuke zaidiI wish niipate ile post ulomwambia Mentor anajishushia heshima kwa post zake.
Man this is part of the game so chillax. Unajishushia heshima![]()

wabongo hatushindwi kitu

*