Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Luna Kitu Kimoja Wale Wanaofatilia Ligi ya EPL itabidi wakifahamu.
"EPL Ni MARATHON inahitaji Uconserve energy pale unapoanza ili umalize na Energy yako"

Sasa Kuna Washabiki Wameanza Kumjudge Joginho kuwa anaanza kuwa tatizo.

Ukweli Ni Kwamba Wazoefu Wa EPL kina Hazard, Kante, Fabi, Luis na wengine walishindwa Kumwambia Kuwa EPL Ni MARATHON sio SERIE A. Kwahiyi ahifadhi Energy Yake kwa Ajili ya Marathon.

Lakini Hawakumueleza Hatimae Alitumia Nguvu Nyingi Sana Mwanzoni mwa Ligi Kuwa Kucover eneo lake every inch na kubalance mchezo Wa Timu Nzima kiasi ya Kwamba Pasi zote za timu pinzani anazipiga peke Yake.

Hatimae amepoteza Energy na Kuchoka na ameanza tokea Mchezo vs Liverpool, Man U, na Jana Spurs.

Sasa cha Msingi Kocha Ampumzishe na abalance energy Yake baada ya 2 atarudi kwenye performance Yake.

Joginho si mbovu wala sio tatizo, Bali amechoka tu.
Anahitaji Kukumbushwa Kuwa EPL sio Italy Ni lazima atunze nguvu zake kama wanazofanya kina Kante.
 
Huu ni msiba sawasawa ma misiba ya jirani, uzuri wa msiba utamkuta kila mtu

Kuna Man City anakuja sasa sijui munajipangaje na wale jamaa coz wabaya.. Iombeni game muje muicheze Anfield mutaifunga City Coz Pep si kwamba sisi Ni bora kuliko City lakini tunamfunga kwa Uzembe Wa Pep tu kuwa Akija Anfield hajiamini.
 
Nieleze kidogo juu ya kufungwa kwa timu yetu pendwa
Kwanza katika dakika ya 13 tulinyimwa penalti ya wazi baada ya Hazard kuminywa kwenye mguu na Juan Foyth akijiandaa kushoot mpaka akaanguka. Hii penalti ingetolewa ingebadili approach ya timu zote PROBABLY

Matatizo ya Chelsea hizi hapa
  1. Tatizo la jumla, wapinzani walikuwa so agressive na walimplan hivyo kama strategy ya kushinda mechi ila kocha na wachezaji wetu wote isipokuwa Kante hawakuliona hili ili ku counteract aggressiveness ya Spurs
  2. Kocha alitakiwa ajue kuwa Spurs wanacheza agressive game dhidi ya timu kubwa, walicheza hivi hivi na Mancity ikawa bahati nzuri Mancity sio wabovu kama sisi
  3. Jorginho hataipeleka Chelsea mbali hasa kwenye mechi agressive kama hizi, wiki ya tatu tutakuw na Mancity, akiendelea kucheza Jorginho katikati, tutapokea kikapu cha magoli
  4. Goli la kwanza hakukuwa na jitihada yeyote ya wachezaji wa Chelsea hasa mabeki kuuwahi mpira na Kipa hakufanya prediction yeyote ya ku punch mpira
  5. Goli la pili Rudiger alitakiwa amtie kashikashi Kane na Luiz alikuwa kwenye golden chance ya kublock ila yeye akaukwepa
  6. Goli la tatu, Jorginho sijui kalemewa, hakufanya jitihada yeyote ya kuwa garersisve kwa Son kwa aidha amchezee rafu au atumie nguvu kuupokonya mpira kabla Son hajapanga kupiga chenga na baada ya Luiz kupigwa chenga Rudiger na Azpilicueta walitakiwa kufanya coverage ila wao wakabaki kushanga kama vile walikuwa kwenye jumba la sinema
Hitimisho
Jana Spurs walitusaidi kumuonyesha kocha mapunguvu ya Chelsea kama ifuatavyo
  1. Luiz hatakiwi kucheza aggressive matches kwani ni mzito. Yeye anafaa mechi za FA na Karabao
  2. Chelsea wafanyie mazoezi aggressive game badala ya hiyo ya kubembeleza mpira na wapinzania
  3. Kante apewe jukumu lake la zamani la katikati na sio jorginho
  4. Morata asiwe anacheza kabisa kwenye mechi muhimu na hii ni kilio cha muda mrefu, kuwa offsides za mara kwa mara ni sawa na kuwakatisha tamaa wenzake kwa kupoteza jitihada kubwa ya pasi nzuri na zingine zinaanzia mbali zikifika kwake anawaaste
  5. Alonso apewe majukumu ya winger, hii ya kukaba haiwezi kabisa ila akiwa mbele ni mzuri
  6. Kocha awe anamcheza Fabregas sawa na Jorginho
  7. Dirisha dogo la january usajili wa mabeki na strikers including wingers ni lazima tena uwe usajili wa maana kama kocha anategemea timu ibaki top 4
Nategemea haya mapungufu (hasa namba 1-6) yatakuwa yamefanyiwa kazi kabla ya mechi na Wolves ya tar 5 na Mancity tar 8 mwezi ujao vinginevyo mikeka ya msiba itaendeela kubaki kwetu
 
Dah! Kweli Siku Hazigandi aiseee! 😀😀
Hapa Katika Game 5 za mwanzo ilikuwa tafrani hapa Watu Kutiririka na Stats za Kuwa Kepa Ni bora kuliko Alisson...
Leo hii Munaanza Kummulika Pickford??
Timu inapokuwa kwenye bad form hakuna cha kipa bora wala defence bora. Jana tulipwaya zaidi katikati na defence nao wakawa sio wazuri Kipa akaonekana mbovu. Kepa bado ana makosa madogomadogo lakini hazimfanyi kuwa kipa mbovu hata kidogo. Hata Alison mnayemsifia atakuja kufanya blunders mpaka mtataka akae nje
 
I personally think that Sarri's needs to change the shape of his midfield and use a double pivot of Kante and Jorginho with Barkley upfront. Playing Kante alongside Jorginho will give a great defensive boost to Chelsea. While Barkley can link-up high up the pitch.
 
"Just a reminder that ‘One Season Wonder’ Mo Salah has more goals (9) than Hazard (8) who is having the best form of his life"

Nipo Hapa mwisho Wa Msimu Mo Salah Ndiye Top Scorer
Wamelikwepa kama hawajaliona hili.
 
EPL wote wana magoal 7. Sasa sikuelewi unachokiongea. Na Hazard alipata injury. Mins played Hazard (875) Salah (1,115) dakika walizocheza. Mara unaniambia mmekatazwa asicheze ha ha hah. Nshajua we ni shabiki wa aina gan
Hayo mtajua ninyi. Mmekatazwa asicheze? Hazard mlisema ana have the best season. Ndo mchezaji bora wa msimu. Ndo tunawauliza vipi?
 
EPL wote wana magoal 7. Sasa sikuelewi unachokiongea. Na Hazard alipata injury. Mins played Hazard (875) Salah (1,115) dakika walizocheza. Mara unaniambia mmekatazwa asicheze ha ha hah. Nshajua we ni shabiki wa aina gan
We ndugu, mlikuwa mnasema hapa Salah ni one season wonder. Hazard ka take over, ni best premier league player kwa sasa. Sasa Hazard alichomzidi Salah ni nini msimu huu?
 
Ngoja nikupe jibu la kukuridhisha Salah ni mchezaji bora duniani hata World Cup ame perform vizur.
We ndugu, mlikuwa mnasema hapa Salah ni one season wonder. Hazard ka take over, ni best premier league player kwa sasa. Sasa Hazard alichomzidi Salah ni nini msimu huu?
 
Usajili ni essential hili halina ubishi, Willian ni jeuri kiburi na mchoyo, Morata viatu vya Costa vilishampwaya zamani. goli la pili limetengenezewa upande wa Kante na Azpilicueta na lawama kipa hakosi maana hata kuruka tu hakuruka ilhali anaona kabisa shuti linakuja. Goli la tatu ni counter attack ambayo imemkuta Alonso out of position na ndio hasara ya full back kuwa mzito kushuka anapopanda Kovacic anahusika sababu ndio upande wake wa kukaba, Jorginho asilaumiwe sana sababu holding midfield anasupportiwa na namba nane kwenye kuvunja mashambulizi, in that case it was Kovacic

Chelsea hii ukikaba Hazard kwisha habari , Pedro na Willian utawaona kama timu pinzani ina beki mbovu na Tottenham haiko hivyo! huku nako viungo wanaosupport mashambulizi (Kante & Kovacic) uwezo wao bado mdogo sana kuwasuppliment strikers
 
Giroud
1543194814260.gif
 
Usajili ni essential hili halina ubishi, Willian ni jeuri kiburi na mchoyo, Morata viatu vya Costa vilishampwaya zamani. goli la pili limetengenezewa upande wa Kante na Azpilicueta na lawama kipa hakosi maana hata kuruka tu hakuruka ilhali anaona kabisa shuti linakuja. Goli la tatu ni counter attack ambayo imemkuta Alonso out of position na ndio hasara ya full back kuwa mzito kushuka anapopanda Kovacic anahusika sababu ndio upande wake wa kukaba, Jorginho asilaumiwe sana sababu holding midfield anasupportiwa na namba nane kwenye kuvunja mashambulizi, in that case it was Kovacic

Chelsea hii ukikaba Hazard kwisha habari , Pedro na Willian utawaona kama timu pinzani ina beki mbovu na Tottenham haiko hivyo! huku nako viungo wanaosupport mashambulizi (Kante & Kovacic) uwezo wao bado mdogo sana kuwa supplement strikers
Mimi naona quality ya wachezaji wa Chelsea ni kubwa kuliko Spurs, tatizo hapa pia falsafa ya kosha sio ya kutumia nguvu bali short passes without aggressiveness. KIlichobadilisha hali ya hewa juzi ni Spurs walicheza kwa kasi na nguvu mwanzo mwisho. hawa hawa wachezaji wa Chelsea wakiamua kucheza aggressive football Spurs wangefungwa magoli mengi tu. Kocha anatakiwa sasa assisitize Aggressiveness kwenye mazoezi maana hapa wapinzani wetu walitucheki na wamegundua udhaifu wetu kuwa hatuwezi cheza aggressive game.
 
Timu ikishakabwa imeshakabwa mjomba Long balls wachezaji wa Chelsea sio wazuri. Usajili haukwepeki kwa nafasi ya namba tisa na winga mwingine mmoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom