Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bark
1540051226222.gif
 
Ukweli Washabiki Wa Chelsea Wasiotaka Kuukubali.

Chelsea Kwenye EPL against Top 6:

• Chelsea 3 - 2 Arsenal (Home)
• Chelsea 1 - 1 Liverpool (Home)
• Chelsea 2 - 2 Man United (Home)

Sasa Umefunga Magoli 6 na Umeconcede Magoli 5 kwenye Uwanja Wa Nyumbani Ni ushahidi Tosha Kuwa Sarriball inafanya Kazi Kwa Midtable Teams na si Top 6 team.

Sasa Mfate Man U, Arsenal na Man City Kwenye Pitch zao za Nyumbani na Sarriball uone Mziki Wao.
Wewe unapoandika wakati mwingine jaribu kuutuliza mwili na akili. Hii Sarriball haina hata miezi minne hajafanya usajili wa maana unaanza kujudge tuna concede magoli mengi.

Tulia dawa yenu bado inazidi kuchemka. Tupo kujenga kwanza. Uanze kujudge baada ya msimu huu kuisha.
 
Niki
Leo Mtaani Kuna Amani Kweli Manake Rant boys wameshaanza Kujijua Kuwa EPL is not all about Possession but Ni Marathon tena ya Kuviziana
Nikisoma mshabiki wa Liverpool Tanzania anayeiongelea epl nafurahi maana hajawai kuiona team yake ikibeba epl, labda YouTube na masimulizi
 
Kuna yule Ollachuga Oc yupo kwenye shuka nimemwambia usijiamini sana na timu yako unapocheza na timu kubwa muokozi dakika 6 goli la pili la martial classic sana

Very good my boy martial angalau umewaonyesha hawa magoli ya mguu yanavyofungwa subiriane hazard awe kwenye siku zake ndo mshinde mechi

Bila hivyo wazee wa magoli ya mipira iliyokufa sariball huna hata goli zuri???

Utoto huu chelsea muwe mnakuwa basi

View attachment 904978
Dah nilikuwa naidharau sana Man united na kuona ni timu ya kujipigia tu.

Kumbe inaweza kupambana hata kutoa draw na Chelsea!!

Hongera sana mkuu, umefurahi sana maana hukutegemea.
 
Dah nilikuwa naidharau sana Man united na kuona ni timu ya kujipigia tu.

Kumbe inaweza kupambana hata kutoa draw na Chelsea!!

Hongera sana mkuu, umefurahi sana maana hukutegemea.
Huna timu ww mchana nlikuambia usiamin magalasa yako
 
Ukweli Washabiki Wa Chelsea Wasiotaka Kuukubali.

Chelsea Kwenye EPL against Top 6:

• Chelsea 3 - 2 Arsenal (Home)
• Chelsea 1 - 1 Liverpool (Home)
• Chelsea 2 - 2 Man United (Home)

Sasa Umefunga Magoli 6 na Umeconcede Magoli 5 kwenye Uwanja Wa Nyumbani Ni ushahidi Tosha Kuwa Sarriball inafanya Kazi Kwa Midtable Teams na si Top 6 team.

Sasa Mfate Man U, Arsenal na Man City Kwenye Pitch zao za Nyumbani na Sarriball uone Mziki Wao.
Siku hizi unaropoka ropoka hovyo.

Ndo nin ulichoandika hapo?
 
Kipindi cha timu yetu ilivyo mbovu kisha nakuja kwako nakutandaka bila jasho goli mbili za akili wakat wajua nna migogoro sasa wewe upo kwenye raha bado umeshindwa kuonesha ile raha uliyonayo unasubir had uamuzi wa refa kukunasua
Sipendi huu utetezi wa refa sijui kafanya hiki na kile kwa sababu tukianza kuleta rekodi za marefa katika mechi za Chelsea na Man Utd wewe utakimbia.

Kubali ulishindwa kulinda goli tukasawazisha.
 
Sipendi huu utetezi wa refa sijui kafanya hiki na kile kwa sababu tukianza kuleta rekodi za marefa katika mechi za Chelsea na Man Utd wewe utakimbia.

Kubali ulishindwa kulinda goli tukasawazisha.
Level yako arsenal tu nae sijui ilikuwaje siwez tena kuja hapa refa kaokoa misumali ya martial angalau kawaonyesha striker wenu jins ya kufunga magoli makali kwa miguu

Mtafute mshabik wa arsenal mm sio level yako upo nyumban unashangilia suluhu???
Screenshot_20181020-180201.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom