Kipindi cha timu yetu ilivyo mbovu kisha nakuja kwako nakutandaka bila jasho goli mbili za akili wakat wajua nna migogoro sasa wewe upo kwenye raha bado umeshindwa kuonesha ile raha uliyonayo unasubir had uamuzi wa refa kukunasua9 games ,14 points .. ningekuwa Mimi ningekaa kimya tu
Kwa hiyo sasa hivi timu yako iko vizuri?Kipindi cha timu yetu ilivyo mbovu kisha nakuja kwako nakutandaka bila jasho goli mbili za akili wakat wajua nna migogoro sasa wewe upo kwenye raha bado umeshindwa kuonesha ile raha uliyonayo unasubir had uamuzi wa refa kukunasua
Kwa kweli mwanga unaonekana kama ugenini naweza nikampa tabu mtu ambae alikuwa na mbio nzur kwa nini nisifurah?Kwa hiyo sasa hivi timu yako iko vizuri?
Una mechi 6 zinazokuja zitafaa kabisa za kupima kama kweli uko vizuriKwa kweli mwanga unaonekana kama ugenini naweza nikampa tabu mtu ambae alikuwa na mbio nzur kwa nini nisifurah?
Ukija hom si nakuumiza wewe
Match stats hizo hapo mkuuleta hizo stats zako now Mkuu
Haujachanika mkuu@eden kimario I told u mkeka utachanika
Lakini bado chelsea ni invincible mkuuTunaposemaga The Invincibles walikuwa sio viumbe wa dunia hii muwe mnatuelewa.
Hahahahhaa, we kweli mkiboshoHaujachanika mkuu
Nilibet sare
Kwenye hela naweka ushabiki pembeni
Michezo 9, point 14 ,hapo Kuna cha kushangilia kweli ?
Matokeo tumeyakubali kabisa na ni halali kuyapata
Bado washambuliaji sisi hatuna
Inabidi tutafute striker ambaye ni Mauro Icard
Umeongea kiliverpool mno badala ya kuongea kandanda jinsi ilivyoUkweli Washabiki Wa Chelsea Wasiotaka Kuukubali.
Chelsea Kwenye EPL against Top 6:
• Chelsea 3 - 2 Arsenal (Home)
• Chelsea 1 - 1 Liverpool (Home)
• Chelsea 2 - 2 Man United (Home)
Sasa Umefunga Magoli 6 na Umeconcede Magoli 5 kwenye Uwanja Wa Nyumbani Ni ushahidi Tosha Kuwa Sarriball inafanya Kazi Kwa Midtable Teams na si Top 6 team.
Sasa Mfate Man U, Arsenal na Man City Kwenye Pitch zao za Nyumbani na Sarriball uone Mziki Wao.
Si tunasikitika kwa sare nyie mnafurahiaTatizo walitangaza vita bila kujua siraha za adui suluhu yenu iliwapa nguvu sana na vile wamemfumua cardiff mammama weee
Thubutu, kwa liver hakukuwa na sarriball, nenda kaangalie statistics utaonaIna maana chelsea wakicheza na cardif city au liverpool ndy sarriball inaonekana. Najiuliza kwann hazard hakupangwaa leo!! Kocha angetakiwa ampange hazatd mana cyo kwa dharau hizo hata bench hawekwii. Hazard kasaidia mech zilizopta hlf leo kweny mech muhim kaa hii humpangi hazard. Dunia inajua hazard ni chelsea