Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Chelsea hongereni kwa kupata droo.
Mmejitahidi sana.
Mmejitahidi sana.
angalia takwimu nani kajitahidi usiwe shabiki bendera fuata upepoChelsea hongereni kwa kupata droo.
Mmejitahidi sana.
Matusi ya niniNyie wapiga ramli naona mnakandwa kindezi mbwa nyie mnatuchania mikeka
Nani kachomoa??? Aliyechomoa ndiye.angalia takwimu nani kajitahidi usiwe shabiki bendera fuata upepo
angalia takwimu nani kajitahidi usiwe shabiki bendera fuata upepo
Chelshit pekeake goli mbili imetiki mzeeIla kakuudhi kakuchania mkeka
Chelsea ipo kwenye kiwango bora zaid cha kumfunga Man u hata goli nne
Leo ushindi nauona wazi wazi tena wa clean sheet ila tu kama tutafanya makosa kwenye back line tumeumia. Rashford na moto wake timu ya taifa sidhani kama anweza kufanya ajizi kwa uzembe wa kijinga jinga.
Kwenye midfield sina shaka kabisa Jorginho yupo good, Kante inafahamika ila bado sina uhakika kati ya Kova na Barkley yupo vizuri zaid kiafya. Japo nilisikia injury hazikua serius sana. Kwangu ninaomba aanze Barkley then Kova badae aingie.
Kwenye ushambuliaji nako kunahitaji umakini sana naona Sarri bora aendelee kumuamini Giroud zaidi ya Morata. Kwa wing ya kulia Willian bado hajakaa sawa kiufundi so hakuna namna ni heri aanze Pedro then kushoto the man him self Hazard.
Leo hakuna cha Scot, Degea wala Pogba. Kama hakutakua na uzembe uzembe naamini hata 3-0 anakaa darajani huyu shetani.
Holla Blues!!!