Huu ndo upupu wakoChelsea ipo kwenye kiwango bora zaid cha kumfunga Man u hata goli nne
Mauro Icard ndio suluhishoMe now nmekosa imani na Willian na Morata
Icard kama umri umeenda hiv..Mauro Icard ndio suluhisho
Shida yetu ndio hiyo sio Willian
Cha muhimu hapa ni mtu anaelijua lango vizuriIcard kama umri umeenda hiv..
Naona kama kuna competition kubwa sana maana kila timu kubwa ina mtaka.Cha muhimu hapa ni mtu anaelijua lango vizuri
DuuhYule dogo Rashford jinsi anavopendaga kuzioshea timu kubwa , kesho beki za Chelsea zina kazi sana kwa huyu dogo
Umesema kweli mkuu, ila goli NNE hapo umetudanganya, tumeambulia draw mkuuChelsea ipo kwenye kiwango bora zaid cha kumfunga Man u hata goli nne
Kidogo tuu sema mipango sio matumiziLeo ushindi nauona wazi wazi tena wa clean sheet ila tu kama tutafanya makosa kwenye back line tumeumia. Rashford na moto wake timu ya taifa sidhani kama anweza kufanya ajizi kwa uzembe wa kijinga jinga.
Kwenye midfield sina shaka kabisa Jorginho yupo good, Kante inafahamika ila bado sina uhakika kati ya Kova na Barkley yupo vizuri zaid kiafya. Japo nilisikia injury hazikua serius sana. Kwangu ninaomba aanze Barkley then Kova badae aingie.
Kwenye ushambuliaji nako kunahitaji umakini sana naona Sarri bora aendelee kumuamini Giroud zaidi ya Morata. Kwa wing ya kulia Willian bado hajakaa sawa kiufundi so hakuna namna ni heri aanze Pedro then kushoto the man him self Hazard.
Leo hakuna cha Scot, Degea wala Pogba. Kama hakutakua na uzembe uzembe naamini hata 3-0 anakaa darajani huyu shetani.
Holla Blues!!!
Usijali mkuu nne ziko pale pale ni suala la muda tuUmesema kweli mkuu, ila goli NNE hapo umetudanganya, tumeambulia draw mkuu