Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ninachokiona sasa kwa hawa wapiga kelele wa Man Utd na Liver wanachotaka wao waandike pumba then sisi tukae kimya tusiwajibu.

Tukiwajibu wanasema tunashangilia draw. How come mi nishangilie draw.?
Sijapoteza game hata moja wao wamefungwa naanzaje kushangilia draw.

Faken
 
Naona Chelsea leo mmefurahia sana draw

Hongereni kwa kusawazisha
 
Wewe unapoandika wakati mwingine jaribu kuutuliza mwili na akili. Hii Sarriball haina hata miezi minne hajafanya usajili wa maana unaanza kujudge tuna concede magoli mengi.

Tulia dawa yenu bado inazidi kuchemka. Tupo kujenga kwanza. Uanze kujudge baada ya msimu huu kuisha.
Uyo jamaa now days ana andika kipuuzi puuzi ..points zake nyingi ukizisoma utaona kabisa kuna something wrong kwenye ubongo wake..
 
Level yako arsenal tu nae sijui ilikuwaje siwez tena kuja hapa refa kaokoa misumali ya martial angalau kawaonyesha striker wenu jins ya kufunga magoli makali kwa miguu

Mtafute mshabik wa arsenal mm sio level yako upo nyumban unashangilia suluhu???
View attachment 905202
Hii comment ina shusha thamani ya kile nilichokijenga juu yako. Unaonesha wewe ni mtu wa aina gani. Hili jibu niliwahi kumpa jamaa mmoja wa Liverpool nakuambia na wewe hivi 'sijawahi kujilinganisha wala kujiweka level sawa na wewe' komaa na wa level yako nami nakomaa na level yangu.
 
Wazee wa comeback walitaka wawanajisi hapo hapo kwenu daah

ahhahahahahhahaha

Sajilini, kumtegemea Hazard mwisho wake ndio huu

Ngoja hizo timu ndogo wajiandae kukaba huyo Hazard ili mumtazamie Kante kwenye kufunga
 
Mbn jana Hazard hakucheza? Yan mtu anafunga karibia mech 7 mfululizo hlf kocha hata hampangiii na benh hata hawekwii!! Ni dharau kubwa kutompanga hazard. Na ndicho chelsea kilichowagaram. Dunian tunajua ile timu ni ya hazard; sasa kutokumpanga ni nafas mtahama. Mech ijayo hazard apangwee. Full stop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom