Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli Washabiki Wa Chelsea Wasiotaka Kuukubali.

Chelsea Kwenye EPL against Top 6:

• Chelsea 3 - 2 Arsenal (Home)
• Chelsea 1 - 1 Liverpool (Home)
• Chelsea 2 - 2 Man United (Home)

Sasa Umefunga Magoli 6 na Umeconcede Magoli 5 kwenye Uwanja Wa Nyumbani Ni ushahidi Tosha Kuwa Sarriball inafanya Kazi Kwa Midtable Team na si Top 6 team.

Sasa Mfate Man U, Arsenal na Man City Kwenye Pitch zao na Sarriball uone Mziki Wao.
Kuna yule Ollachuga Oc yupo kwenye shuka nimemwambia usijiamini sana na timu yako unapocheza na timu kubwa muokozi dakika 6 goli la pili la martial classic sana

Very good my boy martial angalau umewaonyesha hawa magoli ya mguu yanavyofungwa subiriane hazard awe kwenye siku zake ndo mshinde mechi

Bila hivyo wazee wa magoli ya mipira iliyokufa sariball huna hata goli zuri???

Utoto huu chelsea muwe mnakuwa basi

FB_IMG_1540044026734.jpeg
 
Leo Mtaani Kuna Amani Kweli Manake Rant boys wameshaanza Kujijua Kuwa EPL is not all about Possession but Ni Marathon tena ya Kuviziana
Hahahha walipotoa suluhu na nyie tena kwao walichonga sana kila muda kuvamia kwa watu tunawaambia mlietoa nae suluhu mlikuwa kwenu lakin kwa nini mshangilie???
 
Hahahha walipotoa suluhu na nyie tena kwao walichonga sana kila muda kuvamia kwa watu tunawaambia mlietoa nae suluhu mlikuwa kwenu lakin kwa nini mshangilie???

Leo Nadhani utaconfirm Kuwa Hawa Washabiki Wa Chelsea Ni Amateurs Wa 2010 hadi 2015..

Tazama Leo Wako Wapi hapa?

Sisi Tunafungwa na Hatukimbii Majukwaa..

Wao Wamedraw tu lakini Wameingia Mivunguni
 
Leo Nadhani utaconfirm Kuwa Hawa Washabiki Wa Chelsea Ni Amateurs Wa 2010 hadi 2015..

Tazama Leo Wako Wapi hapa?

Sisi Tunafungwa na Hatukimbii Majukwaa..

Wao Wamedraw tu lakini Wameingia Mivunguni
Tatizo walitangaza vita bila kujua siraha za adui suluhu yenu iliwapa nguvu sana na vile wamemfumua cardiff mammama weee
 
Mkuu haya ni masihara unaleta,! Always mechi na man utd hata iwe mbovu VP haijawahi kuwa rahisi hata kidogo!

Jaribu Kupitia Posts za Wenzako Kabla ya Huu mchezo uone Kuwa Mawazo yao Yalifanana na Yako?

Manake Walitabiri Mpaka 4 - 0 hapa!!!
 
Mkuu haya ni masihara unaleta,! Always mechi na man utd hata iwe mbovu VP haijawahi kuwa rahisi hata kidogo!
Tukiangolea ki mpira mnahitaj wachezaj watatu wa mbele wazur willian kiwango hakielewek morata na giroud ni kamali tu siraha yenu ni hazard tu angalia europa anapopumzika mnavyohangaika kupata ushindi
 
Tatizo walitangaza vita bila kujua siraha za adui suluhu yenu iliwapa nguvu sana na vile wamemfumua cardiff mammama weee

Nakuhakikishia Ukitoa Yule Arsenal Ambaye Alimuokota Akiwa Hajakaa Vizuri!! Basi Sarriball yao Kwenye EPL Haiifungi Timu yoyote ya Top 6 Nyumbani Kwao na Ugenini.
 
Nakuhakikishia Ukitoa Yule Arsenal Ambaye Alimuokota Akiwa Hajakaa Vizuri!! Basi Sarriball yao Kwenye EPL Haiifungi Timu yoyote ya Top 6 Nyumbani Kwao na Ugenini.
Kabisa mkuu hili hata mimi nimeligundua na ukiangalia gemu ya arsenal uzembe mikh na auba hawa walikuwa wanakufa
 
Usiwaseme vibaya wenzako,wameponea chupuchupu. Ni haki yao kushangilia japo najua hawawezi kumfikia kocha wao mvuta bangi.
Michezo 9, point 14 ,hapo Kuna cha kushangilia kweli ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom