Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I ask Zola how much he's learned from Sarri: "It's opened a new world for me... I thought a lot about footbal - I was wrong" #cfc
 
Zola on watching Lampard vs Mourinho: "Of course, why not? We are following Frank’s progress on the Championship, plus it is a league I love very much. Hopefully he will do well." #CFC #MUFC #DCFC
 
Zola says he'll be watching United vs Derby & Chelsea are following the progress of Lampard/Morris/Mount/Tomori with interest #cfc
 
Marca have narrowed it down to four signings they feel were terrible, and asked readers to vote.

The options are Tiémoué Bakayoko, Fernando Llorente, Leonardo Bonucci and Benedikt Höwedes.
 
Si sababu ya Uafrica!
Ukweli Usiofichika Ni Kuwa wanaoiendesha FIFA Ni Watu Wawili ambao Wanaushawishi Mkubwa Sana Katika Soka.
Nao Ni Perez na Yule Raisi Wa Barcelona.
Na Ndiyomana Maamuzi yote ya FIFA yanakuja in their Favor...

Mfano mdogo angalia Hizi Tunzo anazopewa Modric kuanziwa UEFA mpaka FIFA hioni Kuwa Ni Staged hizi kama Ni Mpango unaosukwa Kwa Makusudi Kumuangusha Ronaldo?

Mimi Si Mshabiki Wa Ronaldo lakini Ukweli upo wazi Kuwa Real Last season ilikuwa Katika hali mbaya Kiasi ya Kwamba Ronaldo Katumia Jitihada zake Binafsi Kuwavuusha Real kutoka hatua ya Makundi Mpaka Kubeba Kombe (Refer mechi vs PSG, Juve na Bayern)..
Kwahiyo Alistahiki Kubeba Balon D'OR na Tunzo hizo anazobambikiziwa Modric kila Leo.

Sasa Hapo Ni Wazi Perez na FIFA Yake anamkomoa Ronaldo Kwa Kuhama Real na Ndiyo mana Ballon D'OR inamsubiri Modric.

Na Nakuhakikishia Siku Hazard, Neymar au Mbappe atakapohamia Real Basi Hizi Tunzo zote Watabeba ikiwemo Ballon D'OR Kwa Viwango hivihivi walivyonavyo sasa ambavyo hawaambulii kitu.
Nataka nikubaliane na wewe lakini nimekupuuza
Modric alikuwa na kila kitu kuliko Ronaldo hasa alipompiga chenga Ronaldo ni kwenye kombe la dunia
 
Chelsea since 1905
1 UEFA CL title, 5 league titles
It took Chelsea just 10 years to have 5 league titles. I hove in 2028 we will be having a different story. Kuna timu makombe wanaishia kuyasoma kwenye magazeti na mitandao na kusimuliwa na babu zao kwamba ticha yao ishabeba vikombe. Alafu bila aibu utaskia mtu kama huyo anasema we have 18 titles
 
Wor
Mimi Kwenye Kikosi Cha FIFA Makosa niliyoyaona Ni Haya:

1) Dany Alves Last season Hakuwa na Msimu Mzuri (Kwani alitawaliwa na injury karibia Msimu Mzima).. Kwahiyo Hakustahiki Kuwemo.
Nafasi Ya Namba 2 ina Haki Ya Kwenda Kwa Carvahjal au Kimici (Not sure about spelling) Wa Bayern Kwani Walikuwa na Msimu Mzuri last Season.

2) Hazard Nakubali Kuwa Ni Mchezaji Mzuri Ambaye Mimi Binafsi Nampa Nafasi Bora ya Nne Duniani Nyuma ya Messi, Ronaldo na Neymar lakini Kiukweli Last Season Hakuwa na Msimu Mzuri yeye Binafsi pamoja na Timu, Kwahiyo Kwa Msimu uliopia Hakustahiki Kuingia Kwenye Hichi Kikosi (Hapa sijaoongelea Ushabiki).

3) Na Kuhusu Salah Ni Kweli Msimu Huu Hayuko Kwenye Form Lakini Hichi Kikosi Si Cha Msimu Huu ambao Ndiyo Kwanza Unaanza! Hichi Ni Cha Msimu Uliomalizika.. Na Msimu Uliomalizika Ukweli Ni Kwamba Salah Alicheza Vizuri na Alistahiki Kuwepo Katika Hichi Kikosi Hasa Ukiangalia Stats Zake Kwenye Ligi ya EPL (Kafunga Magoli 32) na Kwenye CL (Kafunga Magoli 10) zilikuwa Zipo Juu Kuliko Hao Kina Mbappe na PSG Yake.

4) Na Casemiro Nayeye alistahiki Kuwemo Kwenye Hichi Kikosi.

5) Na kuhusu De Gea & Court Hapo Ndiyo Utata Mtupu.

NOTE: Jamani Musijesema Salah sasahivi Hajafanya Kitu! Hichi Kikosi Ni Performance za Msimu Uliomalizika Wa 2017/18 na Si za Msimu Huu tulionao Wa 2018/19.
World cup team inaundwa na walioperform vizuri kwenye WC zaidi ya timu zao. Kama mchezaji ni mzuri kwenye timu yake lakini National Team yake haikufika mbali ni very rare sana kuwepo kwenye list. Wengi wao wa hiyo WC team, timu zao zilifika aidha fainali, nusu fainali na wachache robo fainali, very rare case group of 16. Timu zote zilizoishia kwenye makundi au hazikushiriki kabisa kombe la dunia hawapo.
Ndio maana German haina washiriki, MO Salah timu yake iliishia kwenye makundi nk nk nk
CHA KUSHANGAZA TU NI HII YA DANI ALVES KUWEPO WAKATI ALIKUWA NA MAJERAHA YA GOTI
 
Si sababu ya Uafrica!
Ukweli Usiofichika Ni Kuwa wanaoiendesha FIFA Ni Watu Wawili ambao Wanaushawishi Mkubwa Sana Katika Soka.
Nao Ni Perez na Yule Raisi Wa Barcelona.
Na Ndiyomana Maamuzi yote ya FIFA yanakuja in their Favor...

Mfano mdogo angalia Hizi Tunzo anazopewa Modric kuanziwa UEFA mpaka FIFA hioni Kuwa Ni Staged hizi kama Ni Mpango unaosukwa Kwa Makusudi Kumuangusha Ronaldo?

Mimi Si Mshabiki Wa Ronaldo lakini Ukweli upo wazi Kuwa Real Last season ilikuwa Katika hali mbaya Kiasi ya Kwamba Ronaldo Katumia Jitihada zake Binafsi Kuwavuusha Real kutoka hatua ya Makundi Mpaka Kubeba Kombe (Refer mechi vs PSG, Juve na Bayern)..
Kwahiyo Alistahiki Kubeba Balon D'OR na Tunzo hizo anazobambikiziwa Modric kila Leo.

Sasa Hapo Ni Wazi Perez na FIFA Yake anamkomoa Ronaldo Kwa Kuhama Real na Ndiyo mana Ballon D'OR inamsubiri Modric.

Na Nakuhakikishia Siku Hazard, Neymar au Mbappe atakapohamia Real Basi Hizi Tunzo zote Watabeba ikiwemo Ballon D'OR Kwa Viwango hivihivi walivyonavyo sasa ambavyo hawaambulii kitu.
Tukubaliane tu hizi ni porojo za mitandaoni. Yeye nani aachiwe FIFA. Tafiti kuna vigezo na taratibu wazi za kuwapigia kura wahusika mpaka wafikie kwenye kutunukiwa nishani. KUNA TARATIBU NA RULES AMBAZO ZIKO TRANSPARENT. isingekuwa hivyo watu wangeisusia
 
Mzee Milner ana "assist za kumwaga" hahahaha...
Zile tunaziita Pasi Zisizo na Madhara!

• Unapiga Pasi 200 per game
× Lakini Zero Shot (On Target)
× Zero Assist
× Zero Goal
× Zero Key Pass

• Then Fanboys Wake Wanakuja Kujisifia na useless stats zake 😀😀😀

Si bora Mzee wetu Milner Pasi 20 per game lakini Assists Kibao pamoja na Key Passes za Kumwaga.
 
It took Chelsea just 10 years to have 5 league titles. I hove in 2028 we will be having a different story. Kuna timu makombe wanaishia kuyasoma kwenye magazeti na mitandao na kusimuliwa na babu zao kwamba ticha yao ishabeba vikombe. Alafu bila aibu utaskia mtu kama huyo anasema we have 18 titles
Apo na yeye kasoma historia tu hajawai kushuhudia tangu kuzaliwa kwake iyo timu ikibeba nayo makombe...
 
FIFA WC Squad 2018
  1. David De Gea (Spain – Man United)
  2. Dani Alves (Brazil - PSG),
  3. Raphael Varane (France - Real Madrid),
  4. Sergio Ramos (Spain - Real Madrid)
  5. Marcelo (Brazil - Real Madrid).
  6. Luka Modric (Croatia - Real Madrid)
  7. N'Golo Kanté (France - Chelsea)
  8. Eden Hazard (Belgium – Chelsea)
  9. Lionel Messi (Argentina - FC Barcelona)
  10. Kylian Mbape (France – PSG)
  11. Cristiano Ronaldo (Portugal - Real Madrid)
 
My preferred team for the #CFC vs #LFC game today: 🔵🔴

Kepa

Zappa Christensen Ampadu Emerson

Fabregas

Barkley Kante

CHO Morata Moses

Thought
 
Apo na yeye kasoma historia tu hajawai kushuhudia tangu kuzaliwa kwake iyo timu ikibeba nayo makombe...
Ata waliochukua kuanzia msimu uliopita kwenda nyuma nao ni historia
So kwa historia you are beaten na kwa saiv pia mmeshazidiwa point
 
Chelshit
7cfb058bff04c8928572d8994edfa734.jpg
 
My preferred team for the #CFC vs #LFC game today:

Kepa

Zappa Christensen Ampadu Emerson

Fabregas

Barkley Kante

CHO Morata Moses

Thought
Kipa atakuwa Caballero

Willian atacheza pia. Maana kocha ana uhakika jumamosi Pedro atakuwa fit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom