Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Si sababu ya Uafrica!
Ukweli Usiofichika Ni Kuwa wanaoiendesha FIFA Ni Watu Wawili ambao Wanaushawishi Mkubwa Sana Katika Soka.
Nao Ni Perez na Yule Raisi Wa Barcelona.
Na Ndiyomana Maamuzi yote ya FIFA yanakuja in their Favor...

Mfano mdogo angalia Hizi Tunzo anazopewa Modric kuanziwa UEFA mpaka FIFA hioni Kuwa Ni Staged hizi kama Ni Mpango unaosukwa Kwa Makusudi Kumuangusha Ronaldo?

Mimi Si Mshabiki Wa Ronaldo lakini Ukweli upo wazi Kuwa Real Last season ilikuwa Katika hali mbaya Kiasi ya Kwamba Ronaldo Katumia Jitihada zake Binafsi Kuwavuusha Real kutoka hatua ya Makundi Mpaka Kubeba Kombe (Refer mechi vs PSG, Juve na Bayern)..
Kwahiyo Alistahiki Kubeba Balon D'OR na Tunzo hizo anazobambikiziwa Modric kila Leo.

Sasa Hapo Ni Wazi Perez na FIFA Yake anamkomoa Ronaldo Kwa Kuhama Real na Ndiyo mana Ballon D'OR inamsubiri Modric.

Na Nakuhakikishia Siku Hazard, Neymar au Mbappe atakapohamia Real Basi Hizi Tunzo zote Watabeba ikiwemo Ballon D'OR Kwa Viwango hivihivi walivyonavyo sasa ambavyo hawaambulii kitu.
Umenena vzr sn.... Ila huu uchambuzi huru na mawazo mazuri unayotoa hivi yasiishie kujadili hizi mambo Za fifa tu.

Km utakua unachambua Ukiwa huru mambo Ya Liverpool, Chelsea Utd etc warahi Mimi ntakua nashiriki mijadala yako sn. Lkn kukiwa na upenzi au unazi tu wa Team basi ntakaa kimya.


Nafatilia mjadala wenu juu ya FIFA mnachambua vzr sn.



Kudos to all mlioshiriki kuchangia wote
 
Henry on Hazard: "We forget that he broke his ankle not that long ago and he came back into the game like nothing happened and went back to his level which says a lot about him as a man. (SKY)
 
Klopp on Sarri: "People were always talking about City being clear, and completely forgot Chelsea. This team is really experienced. It won the title before, 80 per cent won it twice, and they know how it works. That’s a really strong football team.”#cfc
 
Klopp on Sarri: "Outstanding football, and now doing it in a very interrupted pre-season. Eden (Hazard) was not there, Giroud, Kante. Starting the season and you see immediately the impact? All my respect. It’s really good to watch. Good job so far. #CFC
 
Klopp on Sarri: "The biggest change I ever saw in such a short space of time. Wow. Style completely different. What a manager he is, to be honest,” #cfc
 
Klopp on Sarri: "You have seen immediately the impact, he has all my respect. I don’t know why people aren’t talking about them. This team has experience, won title already, 80% twice, they know how it works. That is a really good, strong group. #CFC
 
Klopp on Sarri: "What a manager he is! I'm a supporter of him since I saw them playing in Naples, outstanding football. You see immediately the impact. All my respect. Good job so far. #CFC
 
Zola confirms Rudiger, Loftus-Cheek and Pedro are out for tomorrow. None sound serious though. #CFC
 
Zola on the line up tomorrow: "We will see. I think it is an opportunity to see players that haven't had many games so far. I think it will still be a good team." #CFC
 
Umenena vzr sn.... Ila huu uchambuzi huru na mawazo mazuri unayotoa hivi yasiishie kujadili hizi mambo Za fifa tu.

Km utakua unachambua Ukiwa huru mambo Ya Liverpool, Chelsea Utd etc warahi Mimi ntakua nashiriki mijadala yako sn. Lkn kukiwa na upenzi au unazi tu wa Team basi ntakaa kimya.


Nafatilia mjadala wenu juu ya FIFA mnachambua vzr sn.



Kudos to all mlioshiriki kuchangia wote

Huyu jamaa, I mean King Ngwaba ni moja ya watu ambao wako very objective linapokuja swala la uchambuzi wa soka.

Ni mshabiki damu wa Liverpool lakini hata siku moja humkuti anatoa comments za upendeleo kwa Liverpool, another good thing, he is everywhere kwenye sports forums.

Pata muda wa kupitia maandishi yake.
 
Zola says Hazard will travel to Liverpool: "It looks like the more Eden plays, the better he gets. We have another training session to decide. I think Eden is going to be part of the squad anyway. " #CFC
 
Zola on making Hazard better: "We are happy. When you play at a high level for a long time, you learn how to use your abilities in a more efficient way. It is a process he will go through himself, but of course, we will try to help him. The way we play will help him." #CFC
 
Zola says Hudson-Odoi is rated by Chelsea because he got a game ahead of Victor Moses in the Community Shield. He also added that he is in contention for tomorrow against Liverpool. He also asked him to be patient in response to my questions. #CFC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom