Deep lying midfielder anacheza juu ya mabeki. Halafu unataka hvyo. We mlete mchezaji wako wa liver

Mchezaji Wa Liverpool anayecheza Position Moja na Joginho (Though Wa Liverpool ancheza Tradition namba 6 ya Kukaba Zaidi/Defensive Midfielder) Ni GINI.

√ Gini ana 1 goal
√ Gini ana 1 assist
• Kuhusu Key passes Hata sizihesabu Kuwa Ni Mtaji kwake.

Sasa Mchezaji Wa Liverpool ambaye Ni Anacheza Nafasi Ya Ukabaji Nyuma Ya Milner na Keita na Mbele ya Centre Back ambaye Hafikii Hata Nusu ya Uwezo Wa Joginho Kwenye Kupiga Pasi anamanage Kuscore na Kutoa assist.
Kwani Huyo Wa Kwako ambaye nayeye pia anacheza Deep kiposition lakini Kiuhalisia Maranyingi Anakuwa Katika Half ya opponent wenu anashindwa Kumenage Assist au Shot on Target au Kuscore Kwenye Pasi 180 alizopiga per game na 600+ kwa ujumla huoni Kuwa Hizo Ni useless passes?
Mkuu Deeplying Mido ama Difensive Mido Wanafunga na Kuassist sana tu bila Hata ya Kupiga Pasi Nyingi kiasi hicho.

Unaposema Hatujui Position Ya Joginho unakosea Kwani Hakuna Hapa Aliyesema Kuwa Joginho Ni Attacking Midfielder wala Hakuna aliyesema Kuwa Ni Regista au Box2Box.
Tuachane na Hilo Turudi Kwenye Point!
 
Pellegrini: "Chelsea had a lot of possession because we allowed them to, we wanted them to play on the right and not Alonso or Hazard. The second we maybe lost too many balls. I think the draw is not a bad point."

He's right, our right side isn't dangerous enough.
Na ndiyo maana kuna wakati Hazard alihamia upande wa kulia tatizo likawa striker.

Ulikuwa wakati ule Giroud ametoka akaingia Morata. Sekunde chache mbele Hazard akitokea kulia akamgusia back pass Morata ila alikuwa slow ikapotea.
 
Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
  1. Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
  2. Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  3. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  4. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
No.2, 3, na 4, zinatofauti gani !?
 
....Madrid wakikupa kijana mdogo kama Morata, na ukadhani umepata ujue hiyo imekula kwako.
 
"Wapinzani wetu wameshaanza kujua jinsi gani tunavocheza, kwahiyo inabidi tulete kitu kingine, inabidi tuzidishe kitu zaidi uwanjani"

Sarriball ya nyoko
e92d54f3e1e6740646783664e7625397.jpg
 
Mateo Kovacic -

“That is the problem in my career, I have not scored enough, and it’s something I need to improve on.”
 
David Luiz -

“We are disappointed. We didn’t play a fantastic game, we didn’t create a lot. It was too slow, moving the ball to create the gaps and our movement without the ball. That is why we couldn’t score."
 
Sarri on Europa League having affect on yesterday -

"I don't know. I don't think so. In this period of the season, I don't think so. After seven matches only. It's very difficult to play in the Europa League, but more difficult in March and April, not now”.
 
Sarri on the Rudiger injury -

“I want to speak with the doctor, but I think nothing serious. Maybe three or four days, no more"
 
Olivier Giroud -

“Teams are starting to know us well, so we need to bring something else. At West Ham, we sometimes rushed our game and were not patient or maybe we did not put enough pace in our game. Maybe we need to give a bit more on the pitch as well”
 
“As a team we didn’t succeed in finding the solution. We tried too much to play inside and against a strong defence like that, it was very hard to combine. We should have gone a bit more on the wings and put in more crosses in. We also need to improve on our finishing.”
 
Na ndiyo maana kuna wakati Hazard alihamia upande wa kulia tatizo likawa striker.

Ulikuwa wakati ule Giroud ametoka akaingia Morata. Sekunde chache mbele Hazard akitokea kulia akamgusia back pass Morata ila alikuwa slow ikapotea.

Alichokisema Pellegrini iwapo Utakichukua Kimakini Kabisa utakutia Kuna Jambo la Kujifunza Ndani Yake.

Timu zinaisoma tu SarriBall na Karibu Zitaidhibiti Kama Zilivyoidhibiti Gengenpressing ya Klopp na akaamua Kuachana Nayo.

Sasahivi Washajua Kama SarriBall Ni kumiliki Possession, Kwahiyo Timu Zinakuachia Upossess Mpira dakika zote 90 wao Wameshasoma Kama Udhaifu Wa SarriBall Ni Finishing.
Kwahiyo Wanakungoja Kwenye Finishing Ndiyo Wanablock Penetration yoyote ya Key pass.

Sasa Baadae Timu zitakuja Kuwatumia Kwenye Counter attack pale utakapokumbana na Timu yenye kucheza Counter.
 
Leo umeongea point. Sijui hujatumia ile ya Chugga. Jokes :D

Back
Top Bottom