Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
Hii ni Homa tu juu ya mapambano mawili yajayo dhidi ya Liverpool. Nafurahi mkianza kutengeneza visababu maana siku hiyo hamkawii kuja kuchukua hizi post kama reference ya kujitetea. [emoji2] [emoji125]Mabeki wetu Alonso na Luiz wanazngua sana. Beki wetu bora Rudiger kaumia. RW wetu Pedro kaumia. Willian ni wa kutokea sub. Emerson na Christensen waanze jumatano