Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

King ngwaba na malafyale hili litawaumiza sana Kichwa
054110000_1432533051-Chelsea2.jpg
 
Itakuchukuwa Miaka 300 kufikia idadi ya 18 niliyonayo.

Najua utasema Sijabeba Hata Moja Kwasababu unachoamini wewe Mpira Uengereza Umeanzishwa Mwaka 1992, Kabla Ya Hapo Waingereza Walikuwa Hawana Ligi Wala Hawachezi Mpira.
Ndio ulichobakia nacho tu sasa hivi kujisifia historia
Itawachukua miaka 6 kuja kulitwaa na hii inategemea na wachezaji wanaojielewa
 
Rudiger is so underrated, I never see him being discussed amongst the best in league when in fact he is without a doubt. He's our best center back and he's top 5 in the premier league.
 
#cfc are finally about to leave Greece after their flight was cancelled due to bad weather last night. Clearly preparations for #whufc hindered even more. #Sarri was already unhappy about lack of time between fixtures so will be even more unhappy now.
 
Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
  1. Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
  2. Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  3. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  4. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
 
Sikuona sababu Jana kwa nn sarri hakuwapa chance akina Odoi, Ampadu, Loftus Cheek wacheze. Tunaji risk sana kwa mfano Pedro aliumia mkono lakn siyo serious
Odoi na Ampadu alishasema ana mipango nao hivyo atawatumia tu kuna carabao na FA pia
Halafu hakusafiri nao
 
Awe aggressive na nadhan ana kosa confidence sababu anataka kumridhisha kocha. Ndo maana pass zake zilikuwa fupi na nyingi zilirudi nyuma. Tofauti na Rudiger ana pass za mbele na long.
Bado ana kazi ya kufanya mbele ya rudiger na Luiz
 
Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
  1. Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
  2. Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  3. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  4. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
Nafikiri Morata ana tatizo la kisaikolojia kama hawezi wacha tuende na Giroud
 
Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
  1. Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
  2. Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  3. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
  4. Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
CORECTION
samahani na 3 na 4 nilisahau kuweka sawasawa
3. Matazamio ya kocha ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
4. Matazamio ya mwajiri ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom