Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Eden Hazard on The Best FIFA Men's Player award: "I voted for Luka Modrić, but Mo Salah is my friend so I would like him to win." #TheBest
Mimi Nilijua tu Kitendo Cha Ronaldo Kuhama Madrid basi Perez na FIFA Yake Watamsahau Kwa Kila Tunzo. Yani angebaki Real Mpaka January Msimu huu basi Hizi Tunzo Zote angebeba Ronaldo.
Mm cjaona hata kama salah alistahili kwa lile goal ha ha hah
Really don’t understand the FIFA awards, they make no sense, courtois wins best goalkeeper yet in the world 11 de gea is in goal, and no salah in the world 11 but yet he’s in the top 3 for best player when messi isn’t? 😂😂
Nakubaliana na wewe sana tu mkuu...Mimi Kwenye Kikosi Cha FIFA Makosa niliyoyaona Ni Haya:
1) Dany Alves Last season Hakuwa na Msimu Mzuri (Kwani alitawaliwa na injury karibia Msimu Mzima).. Kwahiyo Hakustahiki Kuwemo.
Nafasi Ya Namba 2 ina Haki Ya Kwenda Kwa Carvahjal au Kimici (Not sure about spelling) Wa Bayern Kwani Walikuwa na Msimu Mzuri last Season.
2) Hazard Nakubali Kuwa Ni Mchezaji Mzuri Ambaye Mimi Binafsi Nampa Nafasi Bora ya Nne Duniani Nyuma ya Messi, Ronaldo na Neymar lakini Kiukweli Last Season Hakuwa na Msimu Mzuri yeye Binafsi pamoja na Timu, Kwahiyo Kwa Msimu uliopia Hakustahiki Kuingia Kwenye Hichi Kikosi (Hapa sijaoongelea Ushabiki).
3) Na Kuhusu Salah Ni Kweli Msimu Huu Hayuko Kwenye Form Lakini Hichi Kikosi Si Cha Msimu Huu ambao Ndiyo Kwanza Unaanza! Hichi Ni Cha Msimu Uliomalizika.. Na Msimu Uliomalizika Ukweli Ni Kwamba Salah Alicheza Vizuri na Alistahiki Kuwepo Katika Hichi Kikosi Hasa Ukiangalia Stats Zake Kwenye Ligi ya EPL (Kafunga Magoli 32) na Kwenye CL (Kafunga Magoli 10) zilikuwa Zipo Juu Kuliko Hao Kina Mbappe na PSG Yake.
4) Na Casemiro Nayeye alistahiki Kuwemo Kwenye Hichi Kikosi.
5) Na kuhusu De Gea & Court Hapo Ndiyo Utata Mtupu.
NOTE: Jamani Musijesema Salah sasahivi Hajafanya Kitu! Hichi Kikosi Ni Performance za Msimu Uliomalizika Wa 2017/18 na Si za Msimu Huu tulionao Wa 2018/19.
Mimi Kwenye Kikosi Cha FIFA Makosa niliyoyaona Ni Haya:

Nakubaliana na wewe sana tu mkuu...
Je, world cup imehusika?
Kweli usemayo.Kama World Cup imehusika Basi DE GEA na ALAVES hawakustahiki Hata Kuokota Mipira.
Waliobakia Wote Wanstahili Kuwemo.
Kwahiyo WC ikihusika ama isihusike Bado Utata upo.
Hivi vikwazo vitammaliza AbramovicStephanie Baker
@StephaniBaker
Russian billionaire Roman Abramovich has avoided Britain for months and is preparing his finances to skirt the threat of American sanctions. He wants £3 billion for Chelsea but so far no one has offered him enough to sell his beloved football club. Terms of Service Violation … via @BW
10:16 - 25 Sep 2018
Has Anyone Seen Roman Abramovich? The Last Days of Londongrad
The Russian billionaire has avoided Britain for months and is preparing his finances to skirt the threat of American sanctions.
bloomberg.com
53
42 people are talking about this
Kweli usemayo.
Nimejaribu kuwaza kwa Hazard na Mbappe kuwa ahead of Salah in the team kuwa ni huenda ushiriki wao kwenye world cup uliofunika performance zao kwenye ligi zao husika.
Je, ni kudharau Waafrika?
Jamie Redknapp: Chelsea may find Drogba successor in face of Fulham striker