Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Si sababu ya Uafrica!
Ukweli Usiofichika Ni Kuwa wanaoiendesha FIFA Ni Watu Wawili ambao Wanaushawishi Mkubwa Sana Katika Soka.
Nao Ni Perez na Yule Raisi Wa Barcelona.
Na Ndiyomana Maamuzi yote ya FIFA yanakuja in their Favor...

Mfano mdogo angalia Hizi Tunzo anazopewa Modric kuanziwa UEFA mpaka FIFA hioni Kuwa Ni Staged hizi kama Ni Mpango unaosukwa Kwa Makusudi Kumuangusha Ronaldo?

Mimi Si Mshabiki Wa Ronaldo lakini Ukweli upo wazi Kuwa Real Last season ilikuwa Katika hali mbaya Kiasi ya Kwamba Ronaldo Katumia Jitihada zake Binafsi Kuwavuusha Real kutoka hatua ya Makundi Mpaka Kubeba Kombe (Refer mechi vs PSG, Juve na Bayern)..
Kwahiyo Alistahiki Kubeba Balon D'OR na Tunzo hizo anazobambikiziwa Modric kila Leo.

Sasa Hapo Ni Wazi Perez na FIFA Yake anamkomoa Ronaldo Kwa Kuhama Real na Ndiyo mana Ballon D'OR inamsubiri Modric.

Na Nakuhakikishia Siku Hazard, Neymar au Mbappe atakapohamia Real Basi Hizi Tunzo zote Watabeba ikiwemo Ballon D'OR Kwa Viwango hivihivi walivyonavyo sasa ambavyo hawaambulii kitu.
Sijui kwa nini JF hakuna sehemu ya dislike. Hivi ni wewe ndiye uliyeandika hapa..?
 
Nafikiri goli tu ndio halijaingia ila tumewashika
Screenshot_20180926-223740.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom