Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Nyinyi kina nani Liverpol tunaikanda kkla mwaka msimu uliopita tumewapiga na chelsea mbovu ya mgomo
Usiwe na wasi wasi mkuu, Kepa ni mzuri sana kuzuia counter attack, ata ukiangalia alivyokua athletic b, alwasaidia sana kwenye counter za hatar.....Hujakosea mkuu bado beki kati ya rudiger na Luiz ina matobo hasa Luiz simwamini kabisa
Kuna wakati alikuwa anaenda mpaka katikati ya kiwanja sijui nyuma huko alimwacha nani na ndio maana nasema tukikutana na team yenye counter attack yenye kasi tunafungwa kirahisi sana
E&K
Anaziba sana mapengo ya Alonso na Luiz, siku tukimkosa mhhn!! Sijui......Kante kama namwelewa vile
Sawa kepa kwa save yuko vizuri sikatai lakini huwezi kumtegemea siku zoteUsiwe na wasi wasi mkuu, Kepa ni mzuri sana kuzuia counter attack, ata ukiangalia alivyokua athletic b, alwasaidia sana kwenye counter za hatar.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Samatta ye siyo mchezaji au Europa siyo league.? Acheni ulimbukeni mshindi wa huku anaenda kukutana na mshindi wa UEFA. Juzi kati mshindi wa Europa kamgaragaza mshindi wa UEFA.Europa na Samatta wanakuhusu
Lengo si kupiga pass nyingi kama jana au juzi. Wingi wa pass unakuja kutokana na game yenyewe inavyoendelea mpk kulifikia lango la mpinzani. Kikubwa ushindi na mpira burudani.Wakuu Vipi Leo SarriBall imeingia Viruses au?
Naona Passes zenu Leo Ni 364 kweli Mtaweza Zifikia 913 za last game?
View attachment 853511
Mbona wewe huwa huleti takwimu za +90mins unazileta hizi mwanzoni. Pia uwe unatuletea na za timu yako kama wewe ni mchambuzi wa soka la kiukweliWakuu Vipi Leo SarriBall imeingia Viruses au?
Naona Passes zenu Leo Ni 364 kweli Mtaweza Zifikia 913 za last game?
View attachment 853511
Mimi huwa nawashangaa makocha wala sio Sari tu. saa nyingine wana mapenzi binafsi na mchezaji hata kama hapaform. Conte kwa Bakayoko na sasa Sari kwa Morata. Girou ni mchezaji mwenye nguvu, stamina na ana uwezo wa kucheza agressively mipira ya juu na chini WHY Sari? kwa nini humpi Girou nafasi ya kwanza?
Mbona wewe huwa huleti takwimu za +90mins unazileta hizi mwanzoni. Pia uwe unatuletea na za timu yako kama wewe ni mchambuzi wa soka la kiukweli
Liverpool mpaka fulltime walipiga pasi 400Huu Ni Uzi Wa Chelsea! Kwahiyo lazima Niuheshemu! Siwezi Kueka Habari za Liverpool Hapa Bali Nitaweka Habari Zinazohusiana na Chelsea tu pamoja na Matani Madogomadogo.
Habari Za Liverpool Nitaziweka Katika Uzi Wa Liverpool na Si Hapa.
Cha msingi ili nijue kweli anafurahia stayle mpya za sarriball kuliko conte na mourinho asaini mkataba mpyaHazard: "I like to have the ball. Not in my own half, but in the last 30 metres. I like this type of game. It's completely different than Antonio Conte or (Jose) Mourinho before. We have more ball so for me, it's not bad." #cfc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard anafurahia maisha kwa sasa kutokana na style of play, anacheza katika mfumo ambao anapendelea zaidi kucheza swala la ku-sign mkataba mpya ni case nyengine kabisa kumbuka club inayomtaka ni moja kati ya club kubwa zaidi duniani na kila mchezaji anatamani kwa wakati fulani katika maisha yake ya soka achezee walau moja ya club hizo.Cha msingi ili nijue kweli anafurahia stayle mpya za sarriball kuliko conte na mourinho asaini mkataba mpya
E&K
Kwangu mimi ni bora angesepa msimu huu tuHazard anafurahia maisha kwa sasa kutokana na style of play, anacheza katika mfumo ambao anapendelea zaidi kucheza swala la ku-sign mkataba mpya ni case nyengine kabisa kumbuka club inayomtaka ni moja kati ya club kubwa zaidi duniani na kila mchezaji anatamani kwa wakati fulani katika maisha yake ya soka achezee walau moja ya club hizo.
Naamini huu utakuwa msimu wake wa mwisho Chelsea japo ningependa aendelee kuwepo.
The Best FIFA Football Awards
- FIFA.com