Hahaa dah yani leo umesahau ulipotoka haha dah! Umesahau jinsi ulivyosota Europa ..halafu kesho kutwa Napoli na PSG watakurudisha ulipotoka.!Huko sio saizi yetu
Tunawaachia nyie
Hahaa dah yani leo umesahau ulipotoka haha dah! Umesahau jinsi ulivyosota Europa ..halafu kesho kutwa Napoli na PSG watakurudisha ulipotoka.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishika nafasi ya 3 kwenye kundi unajua kifuatachoEuropa na Samatta wanakuhusu
Jipe.moyo na Man Utd yako Mbovu
Morata jamani. Hata akiwa na goli tu mpaka atulize ageuke halafu aangalie goli halafu ndipo ashut. Too slow. Hii ndiye forward sari anamtegemea
Sent using Jamii Forums mobile app