Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kazikazi J5
chelsea-bournemouth-010918d.jpg


E&K
 
Luiz ni mzito kurudi, hata goli mojawapo la Arsenal Luiz alishindwa kukaba kwa saba alikaa nyuma ya mfungaji. Akibaki nyuma ni mzuri,
Luiz asipojiangalia atasugua bench, anafanya makosa sana
 
Liverpool Haina Striker na Ndiyomana Tunacheza Formation ya 4 - 3 - 3. Hawa Watatu Wa Mbele Salah - Firmino - Mane Hapana Striker Kati yao Kwani Wote Ni Attacking Midfielders.
Hapo sawa, hakuna wa kulaumiwa msimu huu hapo mbele, mwisho wa msimu mtamlaumu Klop ...4 seasons and counting ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom