eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Hachukui hata tuzo moja hapoGoli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.
Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili![]()
![]()
The Best FIFA Football Awards
- FIFA.comView attachment 855894
Sent using Jamii Forums mobile app
E&K
The Best FIFA Football Awards
- FIFA.com
wangu ni hazard siku zote