successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,084
- 6,155
Umeongea point. Nadhani Morata acheze dakika 10 za mwisho timu ikiwa inaongoza kwa goli 2 na kuendelea.Kutokana na mechi nne tulizochezwa mpaka sasa Rudiger na Luiz bado hawajaelewana vizuri wanaacha mapengo sana kule nyuma
Morata hatakiwi kuanza game kubwa....Giroud anatakiwa kuanza; ana nguvu kuliko Morata na anaonana na wenzake vizuri kiasi kwamba return pass kutoka kwake sio shida
Na return pass ndizo Pedro na Hazard wanapenda mno
Sent using Jamii Forums mobile app