Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nitaununua
4FB93C6900000578-6133451-image-a-8_1536133978020.jpg
 
Wakati wengine mastaa wao ni Ronaldo na messi mimi star wangu ni hazard siku zote

E&K

Hiyo ndo hulka ya binadamu mkuu, kusifu chako.

Siku Hazard akiondoka ndo itakuwa mwisho yeye kuwa star wako.

Hata Giroud kipindi yuko Arsenal kuna watu walikuwa wanamwona kama star wao mpaka alipoondoka.
 
Hazard is really good. Mimi kumponda Hazard labda atuletee shobo za Courtois

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haumpondi, ila hataendelea kuwa star wao, as huwezi kuendelea kuangalia game zake kila mara, anakuwa x, inabaki tu heshima.

Ni sawa na mimi kwa watu kama Alonso, Torres na Suarez, inabaki ile heshima kwamba alikuwa kwenye timu yangu.

Ila ukiulizwa current star kwako unataja wa timu yako.

Though kuna exceptions za watu kama Messi, Mbape, Salah unajikuta unawaelewa hata kama hawako timu yako.
 
Hazard is really good. Mimi kumponda Hazard labda atuletee shobo za Courtois

Sent using Jamii Forums mobile app

Hazard Ni Mchezaji Mwenye Nidhamu Na Ndiyoma Hakuforce Move! Kwahiyo Kastay Calm Anasubiri Next Season Aondoke Bure Kimya Kimya Kwa Kusaini Pre-Contract Na timu aliyoitarget.
Ni Same Kwa Sadio Mane Yeye Ni Tofauti Na Coutinho! Mane Hajaforce Move lakini Hasajili Mkataba Mpya Bali Anasubiri Abakishe Mwaka Mmoja Asaini Pre-Contract Aondoke Kimya Kimya.
 
Ila Sadio Mane ni very professional, kuna kipindi alizinguana na kocha msimu uliopita lakini alijishusha sana.

Mpaka ile game ya Chelsea anaingia dakika ya 89, niliumia sana, mara kawekwa benchi kijinga jinga.

Nadhani hajasamehe ile kitu ndo maana anasubiri muda tu anyanyue.
 
Hazard Ni Mchezaji Mwenye Nidhamu Na Ndiyoma Hakuforce Move! Kwahiyo Kastay Calm Anasubiri Next Season Aondoke Bure Kimya Kimya Kwa Kusaini Pre-Contract Na timu aliyoitarget.
Ni Same Kwa Sadio Mane Yeye Ni Tofauti Na Coutinho! Mane Hajaforce Move lakini Hasajili Mkataba Mpya Bali Anasubiri Abakishe Mwaka Mmoja Asaini Pre-Contract Aondoke Kimya Kimya.

Ila Hazard anabaki...

Hazard mkataba wake unaisha June 2020, by then atakuwa almost 30years na atakuwa ameshaitumikia Chelsea misimu 8 ,hata akiamua kuondoka nafikiri itakuwa fair move kwa both sides na ataendelea kuheshimika japokuwa naona Hazard hana mawenge sana na swala la kuhama hama timu angelikuwa mchezaji mwingine angeshaondoka muda mrefu
 
Sio Angelikuwa Mchezaji Mwengine! Bali Angelikuwa Ni Mchezaji Wa Latin America (Marekani Ya Kusini) Kama Brazil, Argentina, Mexico, Chile and the Likes Basi Huna Rai Ya Kumueka England Miaka 8 linapokuja Suala la Real & Barca au Sula la Hela Na Ndiyomana Wamekusanywa China pamona Na PSG inayocheza Shit League Kwasababu tu Wanalepwa Hela Ndefu.
 
Courtois hatoki nchi hizo ila umeona ujinga aliofanya , sasa hivi anaanza kugombania namba kikosi cha kwanza na Navas , sometimes wachezaji huwa wanafanya maamuzi ya ajabu kweli .
 
Court Kapigwa Changa Na Zidane.

Kiukweli Curtois lilikuwa Ni Chaguo la Zidane Na Zidane Angelibakia Madrid Basi Court Angelicheza Panga Pangua Na Navas Tayari Alikuwa Anatafuta Timu Ya Kwenda.

Lakini Huyu Kocha Wa Real Mpya Aliepo bado Anamwamini Navas Na Wala Hakuwa Na Mpango Na Curtois Bali Kajipendekeza wenyewe.

Baada Ya Kuondoka Zidane Huyu Courtois alikuwa Abakie tu Chelsea Na Abadili Mawazo Ya Kuhamia Real.
 
CHELSEA

74 CESAR AZPILICUETA

After making the transition from fullback to center back a couple seasons ago, the Spaniard has thrived by playing the position to his strengths. Azpilicueta has a whopping 87 Defending rating, which illustrates his excellence at the most important part of his position. While he’s not as tall as some of the giant center backs out there, his strengths (intelligence, quick feet) more than compensate as he has cemented a spot in one of the best defences in the English Premier League.

FIFA19-tile-large-74-Azpilicueta-lg.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom