Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pedro
1535816635902.gif
1535816662951.gif
 
Kutokana na mechi nne tulizochezwa mpaka sasa Rudiger na Luiz bado hawajaelewana vizuri wanaacha mapengo sana kule nyuma

Morata hatakiwi kuanza game kubwa....Giroud anatakiwa kuanza; ana nguvu kuliko Morata na anaonana na wenzake vizuri kiasi kwamba return pass kutoka kwake sio shida

Na return pass ndizo Pedro na Hazard wanapenda mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom